Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Wanahisi kwa Mungu ni kama betting kwamba unaangaa mikeka mingi alaf unasubiria uone utakao tiki.Huwa nacheka sana kumuona binti maisha yake ya mtaani ni full kujiachia na kuwapanga washkaji halafu kila jumapili anakwenda kuomba baraka za mwenyezi MUNGU amfungulie njia apate mahusiano serious.
Sasa why huwa watoto wa kike wanakuwa so gameishly Playful na toying around serious men?!
Wengne wanaomba Mungu awape wame bora huku wameisha jiwekea sifa za nje za wanaume wanaowataka yan wanampangia Mungu