Mwanamke unawezaje kumjibu jeuri mume wako?

Mwanamke unawezaje kumjibu jeuri mume wako?

Hapo sikuungi mkono kwa vyovyote .

Wote wakifanya hivyo tunakuwa na dunia ya aina gani ?!. Watoto bila Baba nidhamu aibu tupu .
Mtoto kuharibika anaweza haribika hata baba ikiwepo. Watoto wa single mama waliofanikiwa ni wengi tu.Hata wa kwangu wanakua vizuri tu na watafanikiwa sana tu. Usiwe negative bwana.
 
Kuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi,unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe.Ukitoka job unafuata watoto shule.Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni,dinner then kusali .Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
Wenye shule zao, kuwa single mother ni kawaida, maana wengi wao uangalia mapicha picha ya Western world kwamba hayo ndo Maisha lakini hawaangalii mapicha picha ya Eastern world kwamba hayo ndo maisha halisi.

Eastern world China, India, Pakistan, Japan, Korea divorce ni kidogo sana, pia shule uku kwetu mabonde kwinama ilikuja juzi juzi tu ndo maana mtu akiwa na degree uchwara mabega yanafika mawinguni wanawake kwa wanaume.

Pia single mother wenye kipato kidogo ni Shida sana, wenye kipato kikubwa uchagua wanaume pia malezi ya watoto uzalisha mashoga, wavuta bangi , na single mother wengine.
 
Kuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi, unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe. Ukitoka job unafuata watoto shule. Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni, dinner then kusali. Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
Tatizo ubinafsi ndiyo unatufanya tuwe wapuuzi! Hivi unadhani hao watoto wana raha kuishi na mzazi mmoja? Thubutu, mtoto anapenda awe na mama, akigeuka kule amuone baba yupo pembeni. Tukiacha ubinafsi tukayapa kipaumbele matakwa ya hao viumbe ambao tuliwaleta hapa duniani kwa raha zetu, tutaona kuwa usingle mother au kuachana mume na mke wakati mna watoto ni ujuha. Nakazia kama unapenda kuishi bila mume, usizae
 
Tupo mkuu. Nasi tunapambana na hali yetu. Mambo haya magumu sana yaani .Ni kuomba mwongozo wa Mungu na kuwekeza sana huko. Yote kwa yote Mungu ni mwema
emoji1545.png
emoji1545.png
.
Hakika Mzee Mwenzangu Mungu ni mwema siku zote na anatupenda sana waja wake kikubwa kutochoka kumuomba tu 🙏
 
Naona mleta uzi umeandika nusu nusu inamaana huwa hamna chanzo? 🤔
 
Kuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi, unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe. Ukitoka job unafuata watoto shule. Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni, dinner then kusali. Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
Acha kudanganya wenzako
Umesaau upweke.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hii koment iwe imetokea mdomoni Lakini kama ni Moyoni Kuna siku utailipia Kwa uchungu Mkubwa sana
Kuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi, unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe. Ukitoka job unafuata watoto shule. Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni, dinner then kusali. Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
 
Umemaliza mkuu
Wenye shule zao, kuwa single mother ni kawaida, maana wengi wao uangalia mapicha picha ya Western world kwamba hayo ndo Maisha lakini hawaangalii mapicha picha ya Eastern world kwamba hayo ndo maisha halisi. Eastern world China, India, Pakistan, Japan, Korea divorce ni kidogo sana, pia shule uku kwetu mabonde kwinama ilikuja juzi juzi tu ndo maana mtu akiwa na degree uchwara mabega yanafika mawinguni wanawake kwa wanaume. Pia single mother wenye kipato kidogo ni Shida sana, wenye kipato kikubwa uchagua wanaume pia malezi ya watoto uzalisha mashoga, wavuta bangi , na single mother wengine.
 
Wanaume kutopenda majukumu ni moja ya sababu ya kuongezeka kwa single mothers
Kuna kifo cha mzazi wa kiume
Kuna uhuni wa mwanaume, ile kila sehemu mwanaume anapita na mwanamke anayemuona

Sababu ni nyingi
Mwanaume kutafuta mbadala inatokana na udhaifu wa mwanamke aliyekua nae moja ya sababu ni hiyo aliyoiongea mtoa mada JEURI
 
Tatizo ubinafsi ndiyo unatufanya tuwe wapuuzi! Hivi unadhani hao watoto wana raha kuishi na mzazi mmoja? Thubutu, mtoto anapenda awe na mama, akigeuka kule amuone baba yupo pembeni. Tukiacha ubinafsi tukayapa kipaumbele matakwa ya hao viumbe ambao tuliwaleta hapa duniani kwa raha zetu, tutaona kuwa usingle mother au kuachana mume na mke wakati mna watoto ni ujuha. Nakazia kama unapenda kuishi bila mume, usizae
Wewe yote maisha. Kwani kuwa single mama, Watoto ndo hawamwoni baba yao ?Wangu Wanamwona Baba yao. Tena.wakati wa likizo wanakwenda kwa Baba yao. Na Week-ends mbili kwa mwezi wako kwa Baba yao.
 
Ndio maana nyie ni k, mtazaaje bila men? Respect us.
Sasa bila sisi kubeba mimba mtskuwaje wanaume. Sisi wanawake tunawafanya nyie kuna wanaume, bila sisi hakuna wanaume
 
Back
Top Bottom