Mgogo Vitani JF-Expert Member Joined Jul 1, 2017 Posts 492 Reaction score 867 Aug 22, 2021 #141 Dukani said: Huko ni kujifariji tuu ila ukweli hakuna mwanamke anayependa kuwa single. Click to expand... Maisha ya nyuma ya keyboard hayo tu mkuu ila deep down hakuna mwanamke anaeweza kuwa proud ya usingo maza na hana shida na mwanaume.
Dukani said: Huko ni kujifariji tuu ila ukweli hakuna mwanamke anayependa kuwa single. Click to expand... Maisha ya nyuma ya keyboard hayo tu mkuu ila deep down hakuna mwanamke anaeweza kuwa proud ya usingo maza na hana shida na mwanaume.
O oldwine Senior Member Joined Dec 30, 2020 Posts 197 Reaction score 364 Aug 22, 2021 #142 Ruyama said: Hivi mwanamke unakuwa mjeuri unamjibu mumeo utakavyo. Mwanaume ametoka kwenye mishe mishe kurudi nyumbani ni war zone na sio comfort zone. View attachment 1897814 Click to expand... Yashakufika hapa!! Pole mkuu[emoji23]
Ruyama said: Hivi mwanamke unakuwa mjeuri unamjibu mumeo utakavyo. Mwanaume ametoka kwenye mishe mishe kurudi nyumbani ni war zone na sio comfort zone. View attachment 1897814 Click to expand... Yashakufika hapa!! Pole mkuu[emoji23]
Deeboyfrexh JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 3,417 Reaction score 5,579 Aug 22, 2021 #143 Victoire said: Mtoto kuharibika anaweza haribika hata baba ikiwepo. Watoto wa single mama waliofanikiwa ni wengi tu.Hata wa kwangu wanakua vizuri tu na watafanikiwa sana tu. Usiwe negative bwana. Click to expand... Pole sana changamoto za malezi zipo!
Victoire said: Mtoto kuharibika anaweza haribika hata baba ikiwepo. Watoto wa single mama waliofanikiwa ni wengi tu.Hata wa kwangu wanakua vizuri tu na watafanikiwa sana tu. Usiwe negative bwana. Click to expand... Pole sana changamoto za malezi zipo!