Mwanamke usipoolewa ni aibu

Mwanamke usipoolewa ni aibu

Ni kweli, Mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age).
Baada ya hapo ni aibu kweli.
Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.

Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
Wewe uliolewa ukiwa na umri gani..?
Ebu tuanzie hapo kwanza....[emoji101]
 
Wengi hawataki kuolewa siku hizi hivyo sio aibu kutoolewa hasa wasomi wa vyuo vikuu na wenye kazi
Wao watatafuta wa kuwapa mimba na kuzaa tu na haja yao ni mtoto basi hivyo hakuna aibu
Lakini pia tusisahau kuna jambo la Mungu kwani kuolewa ni kama rizki kutoka kwa Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiombe yakukute utamaliza nyumba zote za ibada
Bila kusahau kwa waganga, ndoa kwa mwanamke ni jambo la muhimu sana zaidi ya ajira. Kuna Sista mmoja alimaliza chuo elimu ya juu na akapata kazi ila ndoa ikawa ngumu kwake ilimbidi amforce mshkaji mmoja wa Kijiweni ilimradi na yeye apate baraka za ndoa
 
Mashairi haya ndio yamewapoteza wengi sana
Tatizo mnaingia kwenye ndoa kwa kulazisha na kukurupuka mwisho wa siku mnakuja kulalamika vitu ambavyo havina kichwa wala mguu.
Oa au olewa kwa wakati muafaka, pale ambapo unahitaji na umempata anayekupenda.
Mnaforce sana ndoa siku hizi, na mkishaoana hakuna lolote zaidi ya michepuko pande zote. Ndoa si ya kila mtu, na si lazima kila mtu aingie.
 
Aibu vipi mkuu na siku yako haijafika Mungu ndio anaepanga
Habari kwanza

Mungu ndio anapanga, tatizo na hawa wadogo zenu wanapanga vya kwao
Utakuta kaweka madharti kibao utafikiri abaolewa na pacha wake.
Ukishaamua Mungu atapanga, na mengine mwachie
 
Yanikute wapi ndugu? Nishavuka hizo age
Ndio maana unaona haiba umuhimu, embu fikiria kipindi ulo eji hizo,

Ni kawaida kwa binadamu kuchagua asilokuwa nalo

Wewe una ndoa unawachagulia wenzio usingo
 
Hamna mbona kuna baadhi ya thread naandika maneno mengi nacoment kutokana na uzi
Sijawahi ona aisee. Nahisi hii ni comment ndefu ya kwako mimi kuiona.
 
Back
Top Bottom