Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka
Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Point my dear..... hko uliko kunywa kinywaji chochote npo njian kuja kukulipiaHuwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka
Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan kufika 30 ndo mwisho wa ujana au ndohutazaa tna km hujaolewa?? Na wap imeandikwa kua km hujaolewa had kufka 30 hufai tna kuolewa??Usiombe yakukute utamaliza nyumba zote za ibada
Kuna tangazo nilisikia redioni jana (sauti kama ya Mpoki hivi) mwanamme anamuomba mwanamke asiondoke na kumuacha huyo mwanamme kwani yeye mwanamme ana mimba ya huyo mwanamke.Ameifuta aibu yake.
Gavana wa Arizona, State ya US, ni mwanamke anaitwa Janet Napolitano. Ana miaka 60 sasa. Hana mume, hana mtoto na hajawahi kuolewa.Na wao kutokuelewa kuwa wanapaswa kuolewa....
I see watu waliolewa na 26yrs walipimaliza tu chuo mpaka mtu anafukisha 34kafungiwa kwa mume no kazi no business maisha gani hayo wadada tafuten maisha kwanza waume mtawapata hata wajane chaaaa