Mwanamke usipoolewa ni aibu

Mwanamke usipoolewa ni aibu

Demi let's be honest...mimi ni mwanaume sijaoa na kuoa hakuko kwenye mipango yangu kabisaa kwa sasa...na Nina miaka 32

Katika ibada huwa namuomba Mungu sana wepesi vyuma vilainike kiuchumi

Ila nyie Dada zetu wengi wenu tena sana huwa mnajitokeza kuomba wame...mnawatamani sana...je tufiche kusema huwa haiwaumizi kweli kutokuolewa..???
Mnatudanganya hapa na western ways za kujiconsole...lakini mkiingia chumbani peke yenu mnaanza kulia tena
Sikatai...hakuna mwanamke asiyependa kuolewa. Ni ndoto ya mwanamke yoyote yule.
Ninachoongelea mimi ni ile mwanamke umri umeenda hajapata mume kashfa zinaanza juu yake na ndio hapo anapoamua tu aolewe na yoyote ili kuepukana na aibu.
Kuolewa/kuoa kunahitaji utayari na pia upate mtu unayedhani ni sahihi kwako na si tu ujilazimishe kwasababu umri unaenda na jamii inakushangaa.
 
Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka

Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawashangaa aisee,sijawai waelewa wanataka nn hawa makaka,ni shida sana kumwazia MTU asiyewaza.
 
Sikatai...hakuna mwanamke asiyependa kuolewa. Ni ndoto ya mwanamke yoyote yule.
Ninachoongelea mimi ni ile mwanamke umri umeenda hajapata mume kashfa zinaanza juu yake na ndio hapo anapoamua tu aolewe na yoyote ili kuepukana na aibu.
Kuolewa/kuoa kunahitaji utayari na pia upate mtu unayedhani ni sahihi kwako na si tu ujilazimishe kwasababu umri unaenda na jamii inakushangaa.
Kukashifu mwenyewe naungana na wewe sio jambo jema...lakini wapo kabisa ambao hizo kashfa watakuwa wanazistahili baadae hao nafikiri ambao bado hawajawa victims,ni bora wakajifunza kwa Uzi huu

Check and analysis

At 16-20 wasichana mnapata tamaa ya kuwa na mwanaume kwa vigezo vya maumbile yake... Vitu kama handsome,mweupe...mrefu nk

20-23 mnafundishwa kuwa mwanaume anatakiwa kuwa na fame ya uanaume wake,yaani awe na nguvu tuu au wa kwanza sehemu muhimu mfano mchezaji bora,msanii,mwanamitindo nk ...yote haya yanabebwa na namna ya kumudu changamoto zenu kimaisha,issue ya pesa au kuwa njema hapa ndio huwa ina nafasi...
Na hapa mewapoteza wengi ambao pontentially walikuwa hivyo subira kidogo tuu mngewapata...ndio wengi mnajutia kwa ma ex wenu,hatari ya hapa wengi wenu pia huwa mnafikiri mtakuwa kwenye mahusiano milele kwa hiyo mnatumia nafasi hii kuponda raha na kusahau ya muhimu kwa mwanamke
Wanaume wa hapa huwa wanachukuliwa na wenzenu wajanja wa 25-28...ambao wao huwa wanashtukia kuwa kuna cut off time kwa hiyo wanawinda yeyote anaekuwa average

Hapa 29 kuendelea...wengi wanaolewa na watu wasio wapenda kisa presha tuu...na sio nzuri
Wengi hapa kisingizio eti ilimradi awe Mchamungu..."God forbid mchamungu wakati mnazini au mnafanya uasherati kila Sikh???"...
Cha msingi Dada zangu hasa mlio chuo,usifikirie assignments tuu...anza kumtafuta baba wa watoto wako sasa hivi,sisemi uanze kutongoza nooo...
Anza kujibrand kama potential good wife,potential good husbands watakuja na Muombe Mungu atakuonesha your Mr Right
 
Ni kweli, mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age). Baada ya hapo ni aibu kweli. Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.

Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
Ndio ni aibu na anaweza akaambiwa ana nuksi ila sasa aolewe aolewe na nani, hawezi kuolewa tu kwakuwa umri umeenda bali aolewe kwakuwa amempata wa kumuoa. sawa rafiki
 
Kukashifu mwenyewe naungana na wewe sio jambo jema...lakini wapo kabisa ambao hizo kashfa watakuwa wanazistahili baadae hao nafikiri ambao bado hawajawa victims,ni bora wakajifunza kwa Uzi huu

Check and analysis

At 16-20 wasichana mnapata tamaa ya kuwa na mwanaume kwa vigezo vya maumbile yake... Vitu kama handsome,mweupe...mrefu nk

20-23 mnafundishwa kuwa mwanaume anatakiwa kuwa na fame ya uanaume wake,yaani awe na nguvu tuu au wa kwanza sehemu muhimu mfano mchezaji bora,msanii,mwanamitindo nk ...yote haya yanabebwa na namna ya kumudu changamoto zenu kimaisha,issue ya pesa au kuwa njema hapa ndio huwa ina nafasi...
Na hapa mewapoteza wengi ambao pontentially walikuwa hivyo subira kidogo tuu mngewapata...ndio wengi mnajutia kwa ma ex wenu,hatari ya hapa wengi wenu pia huwa mnafikiri mtakuwa kwenye mahusiano milele kwa hiyo mnatumia nafasi hii kuponda raha na kusahau ya muhimu kwa mwanamke
Wanaume wa hapa huwa wanachukuliwa na wenzenu wajanja wa 25-28...ambao wao huwa wanashtukia kuwa kuna cut off time kwa hiyo wanawinda yeyote anaekuwa average

Hapa 29 kuendelea...wengi wanaolewa na watu wasio wapenda kisa presha tuu...na sio nzuri
Wengi hapa kisingizio eti ilimradi awe Mchamungu..."God forbid mchamungu wakati mnazini au mnafanya uasherati kila Sikh???"...
Cha msingi Dada zangu hasa mlio chuo,usifikirie assignments tuu...anza kumtafuta baba wa watoto wako sasa hivi,sisemi uanze kutongoza nooo...
Anza kujibrand kama potential good wife,potential good husbands watakuja na Muombe Mungu atakuonesha your Mr Right
Kanywe soda kwa mangi nakuja kulipa mkuu
 
Sio kweli bali ni upotoshaji tu..hii inatokana na standard amabazo jamii imeweka amabayo wanategemea mwanamke haa archive katika umri flan ...swala la kuolewa au kutokuelwa ianategemea na circumstance kati ya mtu mtu sio wanawake wote wataolewa ...ukiwa strong na kujiamini hili swala dogo sana
 
Kutokuolewa ni Tatizo mkuu.
Especially huyo Mwanamke si Sister.
Sisi wanaume kuoa sio lazima.
 
Mbaya zaidi akiwa over 30 na bado haja olewa na hana mtoto,,,,,anavyohangaika kutafuta mume na mbegu Kwa nguvu ni hatari..,,sometimes najiuliza ndy huyu aliyekuwa ananata sana kipindi kile?Basi umri huo ukigusa tu kutongoza,,,,kesho nakuja nitumie nauli....harembi tena kama alipokuwa under 26 of aged....
 
Back
Top Bottom