Mwanamke usiringe sana kwenye ujana wako

Mwanamke usiringe sana kwenye ujana wako

Mwanamke huyu hapa,(anaitwa Alvera) amesema anajuta sana kuwakataa wanaume wote waliotaka kumuoa akiwa kijana, sasa ana miaka 56, hawezi tena kuolewa na amekuwa mpweke sana....

View attachment 2596606

Amedai kwamba alikua akiogopa atabebeshwa mimba na kuachwa, lakini sasa amepata matatizo ya kiafya, na amekuwa mlemavu, anatamani angekua na familia ya kumfariji.....
View attachment 2596610
Kuna mwanaume mmoja aliyetaka kumuoa kipindi cha nyuma, Alvera amesema sasa yuko tayari amlipe pesa ili mradi tu akubali kumuoa
View attachment 2596611

Kwa kuwa sasa anapendezwa na wanaume, wanaendelea kumwambia kwamba wakati wake umepita na kwamba wanataka wanawake wachanga na wenye uwezo wa kuolewa.
Anaishi mwenyewe kabisa kwa sasa, na kampani aliyonayo ni redio yake ya analogi .....

Majuto ni mjukuu....
Huu ni ukweli kabisa
 
Mmh! maneno Mazito haya ngoja niyafanyie kaz Mapema kabla Umri haujaenda[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Tatizo la Gily anataka aanze kudeal na mashangazi wakati umri ushaenda. Miaka 49 mashangazi wa nini? Maana wote ni kama rika lake tu 😅😅😅

Ila mkuu nisiwe muongo, mashangazi ni habari nyingine 😅😅
Analyse Analyse why?
hqdefault.jpg
 
Kuolewa na kuwa na Kesho nzuri ni vitu viwili tofauti .

Binafsi Mwanamke kumcrush Mwanaume anayehitaji kumuoa hii usababishwa wa Africa kuwa na Akili ndogo kichwani Katika kudadavua Mambo ya Kesho.

That way maamuzi Mengi ya wanawake hayana Maana na Mwanamke umri ukienda ndo akili zinapungua .

That way kijana anayetaka kuoa it better kuoa Mwanamke ambaye hazidi miaka 20 hii ni Rahisi na anaweza mpandikiza falsafa zake vizuri. Na Waka match their goals.
NAKAZIA.
 
Back
Top Bottom