Mwanamke usiringe sana kwenye ujana wako

Mwanamke usiringe sana kwenye ujana wako

Kuolewa na kuwa na Kesho nzuri ni vitu viwili tofauti .

Binafsi Mwanamke kumcrush Mwanaume anayehitaji kumuoa hii usababishwa wa Africa kuwa na Akili ndogo kichwani Katika kudadavua Mambo ya Kesho.

That way maamuzi Mengi ya wanawake hayana Maana na Mwanamke umri ukienda ndo akili zinapungua .

That way kijana anayetaka kuoa it better kuoa Mwanamke ambaye hazidi miaka 20 hii ni Rahisi na anaweza mpandikiza falsafa zake vizuri. Na Waka match their goals.
Shida ni kwamba at 20Å› wanakua na maringo sana mpaka akubali kuolewa umepitia drama za kutosha
 
Mwanamke huyu hapa (anaitwa Alvera) amesema anajuta sana kuwakataa wanaume wote waliotaka kumuoa akiwa kijana, sasa ana miaka 56, hawezi tena kuolewa na amekuwa mpweke sana.

View attachment 2596606

Amedai kwamba alikua akiogopa atabebeshwa mimba na kuachwa, lakini sasa amepata matatizo ya kiafya, na amekuwa mlemavu, anatamani angekua na familia ya kumfariji.
View attachment 2596610
Kuna mwanaume mmoja aliyetaka kumuoa kipindi cha nyuma, Alvera amesema sasa yuko tayari amlipe pesa ili mradi tu akubali kumuoa.
View attachment 2596611

Kwa kuwa sasa anapendezwa na wanaume, wanaendelea kumwambia kwamba wakati wake umepita na kwamba wanataka wanawake wachanga na wenye uwezo wa kuolewa. Anaishi mwenyewe kabisa kwa sasa, na kampani aliyonayo ni redio yake ya analogi.

Majuto ni mjukuu.
Basi tena!
 
hahahaa ila kwani utelezi bado upo?

Ndio ila sio shangazi kaja😀

🤣🤣🤣 sasa kwani nilisema nataka shangazi au namtaka shangazi yako?
shangazi yako hapana 😀
Shangazi yangu ndio huyo, swala la utelezi utakamulia bamia
Mbona simple
 
Back
Top Bottom