Lazima apige ndulu, maana hajawahi pata utamu ๐ ๐ ๐
Kwa nn ukatae kuolewa jmn!? Tuanzie haposi bora uwe singo maza watoto watakufariji kuliko ukatae kuolewa ikiwa unaogopa upweke?? [emoji23]
Shida ni kwamba at 20ล wanakua na maringo sana mpaka akubali kuolewa umepitia drama za kutoshaKuolewa na kuwa na Kesho nzuri ni vitu viwili tofauti .
Binafsi Mwanamke kumcrush Mwanaume anayehitaji kumuoa hii usababishwa wa Africa kuwa na Akili ndogo kichwani Katika kudadavua Mambo ya Kesho.
That way maamuzi Mengi ya wanawake hayana Maana na Mwanamke umri ukienda ndo akili zinapungua .
That way kijana anayetaka kuoa it better kuoa Mwanamke ambaye hazidi miaka 20 hii ni Rahisi na anaweza mpandikiza falsafa zake vizuri. Na Waka match their goals.
si unataka kua superwoman ๐Kwa nn ukatae kuolewa jmn!? Tuanzie hapo
[emoji16][emoji16] kuolewa muhimu em niache mm.si unataka kua superwoman [emoji23]
haya nenda ukafue majeans ๐[emoji16][emoji16] kuolewa muhimu em niache mm.
Basi tena!Mwanamke huyu hapa (anaitwa Alvera) amesema anajuta sana kuwakataa wanaume wote waliotaka kumuoa akiwa kijana, sasa ana miaka 56, hawezi tena kuolewa na amekuwa mpweke sana.
View attachment 2596606
Amedai kwamba alikua akiogopa atabebeshwa mimba na kuachwa, lakini sasa amepata matatizo ya kiafya, na amekuwa mlemavu, anatamani angekua na familia ya kumfariji.
View attachment 2596610
Kuna mwanaume mmoja aliyetaka kumuoa kipindi cha nyuma, Alvera amesema sasa yuko tayari amlipe pesa ili mradi tu akubali kumuoa.
View attachment 2596611
Kwa kuwa sasa anapendezwa na wanaume, wanaendelea kumwambia kwamba wakati wake umepita na kwamba wanataka wanawake wachanga na wenye uwezo wa kuolewa. Anaishi mwenyewe kabisa kwa sasa, na kampani aliyonayo ni redio yake ya analogi.
Majuto ni mjukuu.
Yapi tena?[emoji2]haya nenda ukafue majeans [emoji23]
ukishaolewa utaelewa ๐Yapi tena?[emoji2]
Mi nimejitoa nshabonyeza nyota kujitoa
Ww siunatakaga mshangazi? ๐ ๐
We siunataka namba ABA 001 kula chuma hiko
hahahaa ila kwani utelezi bado upo?Gily panamfaa hapo ๐ ๐
Ndio ila sio shangazi kaja๐Ww siunatakaga mshangazi? ๐ ๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ sasa kwani nilisema nataka shangazi au namtaka shangazi yako?We siunataka namba ABA 001 kula chuma hiko
Ukiacha kipite hatutaki ulielie upewe namba za mishangazi humu
Shangazi yangu ndio huyo, swala la utelezi utakamulia bamiahahahaa ila kwani utelezi bado upo?
Ndio ila sio shangazi kaja๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ sasa kwani nilisema nataka shangazi au namtaka shangazi yako?
shangazi yako hapana ๐