Mwanamke, utakubali tubadilishane unipe MUMEO nani nikupe UTAJIRI WANGU?

Hapa ndo nimegundua uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, samahani lakini mkuu
 
Muda mwingine mwanamme huwa tunamkataa mwanamke kumpima kama ataondoka ama atabaki.

Kuondoka kwako kunaonesha wewe ni mjeuri na una backup. Angekuoa ungemtesa na ungemkimbia tuu. Hufai kuwa mke.
Mtu kashaamua kua waachane that means alishamake up his decision na alishajipanga..kuendelea kujilazimisha ni kumkosea heshima uyo mwenza

Mwanamke mwenye busara lazima aheshim maamuzi ya mwenza wake regardless yanauma kiwango gani

Kwahiyo ulitaka yeye ndio ang’ang’anie ili aje kuteswa yeye na kunyanyasika baade? Huyo hakua Mume sahihi kwake
 
Hivi ndoa zimekua ngumu namna hii mpaka mtu nataka kubadilishana?

Anyway, mimi hata ukiniambia unipe pesa zako zote na uhai wako sikupi Mume wangu kwa kweli, maana ana thamani kubwa kwangu kuliko kitu chochote na kamwe siwezi kuilinganisha thamani yake na mali au fedha

Kila la heri kwenye kutafuta
 
Nasaini mkataba chap nabeba magauni yangu na mafuta na mswaki namuacha tajiri ainjoi 🤣🤣🤣
Sasa dear Eve uniachie enjoyments wewe huzitak?

Anyway,Nakuja DM tuongee vzr coz hata gar mtu akiuza hakwambii matatizo yake utaona analisifia tu.,😊
 
Huyu mwanamke jeuri
 
Pesa hainunui upendo tafuta mtu mnayeendana,asiyekupenda achana naye
Hamna mwanamme atakuwa comfortable na mwanamke aliyemzidi hela,usimsaidie mwanaume ukidhani ndo atakupenda,hupendo haununuliwi
 
Aisee mkuu ni una hekima hadi basi.
Nimefarijika sana.
Maneno yako yasomwe na wote wenye kujisikia kama mim hakika watapata faraja.

Wanaume tunawapenda ila most of them wanatuchukulia kama plastic toys na machoz yetu ni sawa na matone ya jasho tu kwao.

Yes maisha ni kutimiza kusud la Mungu na kuacha alama hata kama ni ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…