Na wanaomfungulia mashtaka ni weusi wenzake, hakuna mzunguInaweza kuwa kweli, lakini pia yawezekana kuna mkakati wa kumfilisi Mtu mweusi hapo.
Yawezekana wapo wazungu waliofanya matukio kama hayo au zaidi lakini hawakubanwa hivyo
huyo mwanamke nae ni blackNadhani Ni mkakati wa kuwashusha blacks
Blacks ni species ya binadamu wanaochukiana sana wenyewe kwa wenyewehuyo mwanamke nae ni black
Ni black mwenye white heart ya kupandikizwahuyo mwanamke nae ni black
Inawezekana kabisa kuwa alibaka kweli, wakati ule kundi lake la Bad Boys na NWA la kina Snoop na Dre walikuwa Mafia sana na kuvunja sheria nyingi sanana wanaomfungulia mashtaka ni weusi wenzake, hakuna mzungu
kweli ksbisa, sasa ivi hiki ndio kinachowatesa, hata tupac alifungwa kwa kesi ya ubakaji, walikuwa wahuni sanaInawezekana kabisa kuwa alibaka kweli, wakati ule kundi lake la Bad Boys na NWA la kina Snoop na Dre walikuwa Mafia sana na kuvunja sheria nyingi sana
Suala la kubaka wanawake na kuwapiga walifanya sana hata Dr. DRE