Mwanamke wa 4 adai alibakwa na Diddy wakati akiwa na miaka 17

Mwanamke wa 4 adai alibakwa na Diddy wakati akiwa na miaka 17

Kwa Nini kesi za namna hiyo zinatokea marekani Tuu?, Na Je kwa Nini kesi za namna hio hazisikiki kwenye nchi kama China,Russia,au Israel????.majibu please
Uingereza zinatokea sana kwa Wachezaji wa Premier Legue. Wadada wanataka umaarufu na pesaro kupitia mastaa.
 
Wale jamaa wote wa kula tunda kimasihara marekani na ulaya wangechungulia kwenye nondo.
 
Hizi kesi zote Diddy atashinda. Amepitia nyakati ngumu kuliko sasa na alishinda.

Wakati anasoma Howard University aliandaa tamasha la muziki , watu wakajaa kupita kiasi mpaka kuna watu walipoteza maisha. Akafunguliwa mashtaka akashinda kesi.

2001 ndani ya club Puffy alizinguana na mtu ambae alijaribu kumdhihaki , matokeo yake kukatokea majibizano ya risasi ndani ya club. Watu watatu walijeruhiwa. Kesi hii alishinda Kimafia.

Hizi kesi za unyanyasaji kijinsia naamini atashinda pia.
Hizi za Sasa hashindi. Ashamlipa Casey. Yaani Casey Ventura alivyomzuri vile hahaaaa halafu jamaa kamfanyia mambo ya ajabu. Ni Bora hajamuua tu.
Wanasema kawafanyia unyama akina Beiber na Usher. Kuna interview Usher alaifanya yaani kama vile code ziko wazi.
 
Ah
Uingereza zinatokea sana kwa Wachezaji wa Premier Legue. Wadada wanataka umaarufu na pesaro kupitia mastaa.
Ahaa nashukuru nimeelewa,, lakini swali langu bado nauliza kwa Nini Mambo kama hayo yanatokea upande wa nchi za magharibi,,na kwa Nini nchi za mashariki kama China, Russia, Israel,na nchi za uarabuni hatusikii wadada wakiripoti kesi za namna hio,Je ni kwamba hamna watu maarufu au wacheza mpira kama ulivyosema au inakuaje hapo???
 
Haya mambo yapo sana, hakuna hata cha mkakati wa kuwashusha ni vile tu huko mbele watu washapiga hatua.

Kuna mtu aliwahi kunisimulia kuwa akiwa mdogo mama ake alikua anauza pombe pale home, sasa akiwa bize watu wanamchukua yeye (mtoto) wanambeba kucheza nae wengine wanatoka nae na kumrudisha.

Kuna jamaa alikua anamchukua anaenda kumnyonyesha dudu, alikua anasema nlikua naona mbona kama kamasi zinatoka (mnaelewa) lakini hakuwahi kumweleza mtu yeyote hadi kawa mkubwa ndo kutambua nini alikua anafanyiwa. Hizo kesi za hao majamaa naamini hakuna cha mkakati.
Exactly, kwanza nashangaa sana inakuaje Dr. DRE hili halijamkuta, Mtu kama Eazy E, Dre na Tupac Shakur walibaka na kupiga sana Wanawake

R. Kelly alimbikiri Aaliya akiwa under 18 na wengine wengi walienda night clubs ila serikali ilikuwa inawaangalia tu na jamii ya Wazazi ambao ni Wamarekani weusi hawakuwa serious kufuatilia hili au waliogopa
 
Ah

Ahaa nashukuru nimeelewa,, lakini swali langu bado nauliza kwa Nini Mambo kama hayo yanatokea upande wa nchi za magharibi,,na kwa Nini nchi za mashariki kama China, Russia, Israel,na nchi za uarabuni hatusikii wadada wakiripoti kesi za namna hio,Je ni kwamba hamna watu maarufu au wacheza mpira kama ulivyosema au inakuaje hapo???
Nchi za magharibi ,bahati nzuri nimebahatika kuishi huko. Sheria zinampa favour sana mwanamke dhidi ya mwanaume.
Ukimpiga mwanamke/mkeo hata kofi moja tu, ni kosa kubwa na utaaenda jela.
Sheria za magharibi zinamfanya mwanamke awe juu ya mwanaume. Baadhi ya wanawake wanazitumia vibaya.
 
Back
Top Bottom