Mo Money Mo Problems
I don't know what they want from me
It's like the more money we come across
The more problems we see
I don't know what they want from me
It's like the more money we come across
The more problems we see
I don't know what they want from me
It's like the more money we come across
The more problems we see
What's going on? (Oh, what's going on?)
Somebody tell me (what's going on?)
Haya mambo yapo sana, hakuna hata cha mkakati wa kuwashusha ni vile tu huko mbele watu washapiga hatua.
Kuna mtu aliwahi kunisimulia kuwa akiwa mdogo mama ake alikua anauza pombe pale home, sasa akiwa bize watu wanamchukua yeye (mtoto) wanambeba kucheza nae wengine wanatoka nae na kumrudisha.
Kuna jamaa alikua anamchukua anaenda kumnyonyesha dudu, alikua anasema nlikua naona mbona kama kamasi zinatoka (mnaelewa) lakini hakuwahi kumweleza mtu yeyote hadi kawa mkubwa ndo kutambua nini alikua anafanyiwa. Hizo kesi za hao majamaa naamini hakuna cha mkakati.
Siyo umafia ni ujinga tuInawezekana kabisa kuwa alibaka kweli, wakati ule kundi lake la Bad Boys na NWA la kina Snoop na Dre walikuwa Mafia sana na kuvunja sheria nyingi sana
Suala la kubaka wanawake na kuwapiga walifanya sana hata Dr. DRE
Atatoa sana mzigo....ashakuwa mti pesaHizi kesi zote Diddy atashinda. Amepitia nyakati ngumu kuliko sasa na alishinda.
Wakati anasoma Howard University aliandaa tamasha la muziki , watu wakajaa kupita kiasi mpaka kuna watu walipoteza maisha. Akafunguliwa mashtaka akashinda kesi.
2001 ndani ya club Puffy alizinguana na mtu ambae alijaribu kumdhihaki , matokeo yake kukatokea majibizano ya risasi ndani ya club. Watu watatu walijeruhiwa. Kesi hii alishinda Kimafia.
Hizi kesi za unyanyasaji kijinsia naamini atashinda pia.
Nadhani Ni mkakati wa kuwashusha blacks
Tatizo ni kwamba wakati ule walifanya kwa hiari sasa wamegundua lilikuwa kosa na wanaweza kupiga hela.Na wanaomfungulia mashtaka ni weusi wenzake, hakuna mzungu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mtu amekubali mwenyewe orgy au threesome baadae anakuja kusema alilazimishwa, bad enough unakuta alimficha umri kumbe alikuwa na miaka 16 au 17. Akina Diamond, Marioo, Harmonize, Ali Kiba mjiandae.
Ali Kiba yamesha anza kumkuta yule dada msomi anamchafua sana kwenye media anadai kunyanyaswa na Kiba eti pia hakujua Ali alikuwa kaoa!
Ndoa ya Kiba na Amina taarifa kibao zipo mitandaoni hadi kesho kutwa msomi wamasters toka spain kashindwa kuziona.
Ila kiukweli blacks nao linapokuja suala la mbususu wanakuwa dhaifu mno...huwa akili zinahama kabisa😎Nadhani Ni mkakati wa kuwashusha blacks
Akajitetee shida Iko wapi? Hizo ni tuhuma tu kama tuhuma nyingineInaweza kuwa kweli, lakini pia yawezekana kuna mkakati wa kumfilisi Mtu mweusi hapo.
Yawezekana wapo wazungu waliofanya matukio kama hayo au zaidi lakini hawakubanwa hivyo
DIDDY ATUHUMIWA NA MWANAMKE WA 4 K UBAKAJI WAKATI AKIWA NA MIAKA 17
Huenda Rapa na Mfanyabiashara Sean Combs maarufu kama Puff au Diddy akawa katika nyakati ngumu kutokana na tuhuma za Unyanyasaji wa Kingono zinazozidi kuibuliwa dhidi yake, licha ya yeye kukanusha uhusika wake
Na hiyo ni baada ya Mwanamke aliyetambulika kwa majina ya Jane Does kufungua kesi akimtuhumu Diddy kuwa alishirikiana na wenzake kumfanyia Ukatili wa Kingono mwaka 2003 wakati akiwa na miaka 17 na Diddy akiwa na miaka 34
Kesi imefunguliwa chini ya Sheria ya Ulinzi ya Waathirika wa Ukatili wa Kijinsia inayowapa waathirika nafasi ya kufungua mashtaka ya Unyanyasaji ambapo zaidi ya kesi 2,500 zilifunguliwa chini ya Sheria hiyo itakayofutwa Machi 1, 2025.
Umeme ni mwingi akili kidogoIla kiukweli blacks nao linapokuja suala la mbususu wanakuwa dhaifu mno...huwa akili zinahama kabisa😎
AiseeNadhani Ni mkakati wa kuwashusha blacks
Watu wengi wanalaumu kwamba ni mkakati wa Kumhujumu P diddy kwa sababu ni mtu mweusi..lakini wanasahau kwamba Hao wanawake wote waliomshtaki ni weusi .na hata mawakili waliowekwa Ni weusi...Inaweza kuwa kweli, lakini pia yawezekana kuna mkakati wa kumfilisi Mtu mweusi hapo.
Yawezekana wapo wazungu waliofanya matukio kama hayo au zaidi lakini hawakubanwa hivyo
Yes Shyne na dereva wa Diddy walienda jela yeye akachomoka.Atatoa sana mzigo....ashakuwa mti pesa
Hiyo kesi ya club aliyokuwa na j.lo
Yeye alichomoka mwenzake waliyokuwa naye shyn barrow alinyolewa
Ova
Hao ni ma gold diggers, wanatafuta mkwanja na umaarufu.(American dream) Hizi kesi Diddy atashinda.Watu wengi wanalaumu kwamba ni mkakati wa Kumhujumu P diddy kwa sababu ni mtu mweusi..lakini wanasahau kwamba Hao wanawake wote waliomshtaki ni weusi .na hata mawakili waliowekwa Ni weusi...
Sasa mzungu anatoka wapi hapo??
Didy aliona hawezi kushinda kesi aliyofunguliwa, akaamua kumalizana nje ya mahakama,( amemlipa yule demu pesa nyingi sana)Hao ni ma gold diggers, wanatafuta mkwanja na umaarufu.(American dream) Hizi kesi Diddy atashinda.
Waswahili utawaweza na mawazo yao mafupiNa wanaomfungulia mashtaka ni weusi wenzake, hakuna mzungu