Mwanamke wa 4 adai alibakwa na Diddy wakati akiwa na miaka 17

The Notorious B.I.G. - Mo Money Mo Problems.​



View:
 

Iyo ni kweli lakini hua siamini mtu alie fanyiwa iko kitendo mwisho wa siku ademand pesa in return!

Mtu mwenye uchungu wa kufanyiwa hivo furaha yake kubwa hua ni distraction ya moja kwa moja kwa aliyemfanyia mfano kufugwa jail kwa miaka mingi au maisha, kunyogwa and etc

Issue za kutaka kulipwa ndo hua sizielewi mi naona kama kufanya ivo kweli bas muhusika afungwe basi kila mmoja apite ivi.
 
Inawezekana kabisa kuwa alibaka kweli, wakati ule kundi lake la Bad Boys na NWA la kina Snoop na Dre walikuwa Mafia sana na kuvunja sheria nyingi sana

Suala la kubaka wanawake na kuwapiga walifanya sana hata Dr. DRE
Siyo umafia ni ujinga tu

Mfano tu,wakianda maparty yao
Majumbani mwao madem si lazima
Wawepo,hapo lazima wapigwe mtungo

Ova
 
Atatoa sana mzigo....ashakuwa mti pesa
Hiyo kesi ya club aliyokuwa na j.lo
Yeye alichomoka mwenzake waliyokuwa naye shyn barrow alinyolewa

Ova
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
huyu jamaa akitoboa 2024 bila kwenda jela itabidi ahamishie makazi yake afrika aje ajumuike na ndugu zake wamakonde kule mtwara.
 
Njoo bongo au south Afrika Diddy watakumaliza hao watesi wako
 
Inaweza kuwa kweli, lakini pia yawezekana kuna mkakati wa kumfilisi Mtu mweusi hapo.

Yawezekana wapo wazungu waliofanya matukio kama hayo au zaidi lakini hawakubanwa hivyo
Watu wengi wanalaumu kwamba ni mkakati wa Kumhujumu P diddy kwa sababu ni mtu mweusi..lakini wanasahau kwamba Hao wanawake wote waliomshtaki ni weusi .na hata mawakili waliowekwa Ni weusi...

Sasa mzungu anatoka wapi hapo??
 
Watu wengi wanalaumu kwamba ni mkakati wa Kumhujumu P diddy kwa sababu ni mtu mweusi..lakini wanasahau kwamba Hao wanawake wote waliomshtaki ni weusi .na hata mawakili waliowekwa Ni weusi...

Sasa mzungu anatoka wapi hapo??
Hao ni ma gold diggers, wanatafuta mkwanja na umaarufu.(American dream) Hizi kesi Diddy atashinda.
 
Na wanaomfungulia mashtaka ni weusi wenzake, hakuna mzungu
Waswahili utawaweza na mawazo yao mafupi
ni conspiracies tu ndio zimewajaa kichwani!
Mara Michael Jackson aliuliwa na Illuminati baada ya kuwabadilikia mara Tupac Shakur hajafa yupo kisiwa flani kajificha,(miaka inakatika tu)mara Usama bin Laden hajafa!
Halafu ndio arguments zinatolewa na so called graduates!
kwa kweli safari ya Tanzania kutoka kuwa Third world country ni ndefu saaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…