Mwanamke wa 4 adai alibakwa na Diddy wakati akiwa na miaka 17

Inaweza kuwa kweli, lakini pia yawezekana kuna mkakati wa kumfilisi Mtu mweusi hapo.

Yawezekana wapo wazungu waliofanya matukio kama hayo au zaidi lakini hawakubanwa hivyo
Didy ni bedui lilikua untouchable limewatenda uovu wengi mno sasa ukifika muda karma kinakua na mengi ya kulipia plus riba na retention fees
 
Sad[emoji24]
 
CIA wanakuwaga na cyindicate ya kuwafilisi mastaa weusi,kuanzia kina tyson,ata 2pack alisingiziwa kubaka,bob marley alitumiwa jasusi la cia likmzawadia kiatu cha mpira kilichokuwa na msumari wa sumu,,r.kelly nae ndo ivo,,,,,ata marais wa africa kama kina patrck lumumba,thomas sankara,tomas sankara,gadaffi,...waliuwawa,na ata wapigania uhuru kama yule wa msumbiji alitumiwa bomu kwenye barua,,,na bado wanatamani kutuua waafrika kwa halaiki kwa maradhi kama ukimwi,ebola,korona ,kimeta na kadhalika..lakini MUNGU anatupigania....hawatupendi ndo manake wanatulazimisha tufirane ili tuwe vichaa!!!!!.......mwaka jana ulaya {ujerumani ] waliandamana eti uganda kuchimba mafuta ni kuharibu mazingira!!!!......da!!! jiulize kwa nini mradi wa umeme wa bwawa la nyerer wazungu walikuwa wakiukataa!!!{utafikiri hii ni nchi yao,,] na kwa nini mpaka leo bwawa la umeme haliendelezwi!!! kwa nini mradi wa SGR kama umekwama?na kwa nini mvua zinanyesha hadi mafuriko lakini DAWASCO na TANESCO hamna huduma??
 
Akina mama wengine akili fupi sana!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Watu wengi wanalaumu kwamba ni mkakati wa Kumhujumu P diddy kwa sababu ni mtu mweusi..lakini wanasahau kwamba Hao wanawake wote waliomshtaki ni weusi .na hata mawakili waliowekwa Ni weusi...

Sasa mzungu anatoka wapi hapo??

Ushangae na wewe karma haimuachi mtu
 
Hizi standards hizi, sidhani kama kuna mwanaume anaweza akavuka... umaskini wetu tu ndio unatuokoa na haya mabalaa
 
Duuhhh salale .Wazungu bwana , mbwa sana sasa huyo brotherman wanataka kumfilisi kabisaa wamemtumia na sasa wamemuona ana pesa wanataka kuzichukua na kumfilisi kama Micheal jakson hivo ndio walivo.
 
Tusiwasingizie wazungu kwa matatizo yetu wenyewe, Huko Amerika blacks ndio wanaongoza kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe. Watu weusi kuna tatizo tunalo
 
Kwa Nini kesi za namna hiyo zinatokea marekani Tuu?, Na Je kwa Nini kesi za namna hio hazisikiki kwenye nchi kama China,Russia,au Israel????.majibu please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…