Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Mbarikiwe siku zote mfike nchi ya ahadi salamaasante mkuu kwa kuniombea mema.
Binti wa watu kwa sasa ni mjamzito, mwakani tu ntaitwa Baba nanii[emoji120][emoji120]
Jana alikua anaumwa umwa, leo nimempeleka hospital amepata huduma.
View attachment 2367308