Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Hapa ulikuwa unajichatisha mwenyewe tu😁😁
Jana usiku baada ya kula tulienda kupima afya zetu. Vipi nako nilijipimisha mara 2?

nidanganye kwa faida ya nani sasa bwashee?



Screenshot_20220802-092129.png
 
Dogo heb tulia kwanza afu baada ya miezi sita ulete mrejesho,je hizo mbwembwe bado zipo?
 
Mkuu yani ukiona ninavyoishi na huyu binti yan utajua hawa wanapendana sana.

mapenz yale ya asili kabisa ndio nay experience

-hakuna kuombana hela hovyo
-hatugombani mbele za watu
-hajawahi kuongea na mm kwa sauti ya juu wala kufoka
-akiniona ananipokea na anatangulia ndani kabisa
Huwajui wanawake wewe, kikubwa ishi nae kwa akili tu
 
Mkuu kwanza tuheshimiane.

Huyo ni mke wangu, sio dem kama ulivyojijengea fikra juu yake.

Kisha tambua kuwa Elimu sio kigezo cha ndoa kuwa bora/kudumu, take that note my friend.

Mwisho, You judge too much man, maisha yako yamejaa hukumu tu nothing sweet
Anajikuta anajua sana
 
Na akikubadilikia ulete mrejesho japo hatuombi mfikie huko. Nawatakia maisha mema yenye furaha na uvumilivu.
 
Nafikiri hii thread ndio kitu pekee kilichonifanya nicheke kwa siku ya leo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji706]
 
Nawaombea muwe hivyo hivyo..
asante mkuu kwa kuniombea mema.
Binti wa watu kwa sasa ni mjamzito, mwakani tu ntaitwa Baba nanii🙏🙏
Jana alikua anaumwa umwa, leo nimempeleka hospital amepata huduma.
Screenshot_20220925-091826.png
 
Back
Top Bottom