Plan Master JF-Expert Member Joined Jan 1, 2021 Posts 2,188 Reaction score 3,762 Sep 25, 2022 #301 Get Rich said: asante mkuu kwa kuniombea mema. Binti wa watu kwa sasa ni mjamzito, mwakani tu ntaitwa Baba nanii[emoji120][emoji120] Jana alikua anaumwa umwa, leo nimempeleka hospital amepata huduma. View attachment 2367308 Click to expand... Mbarikiwe siku zote mfike nchi ya ahadi salama
Get Rich said: asante mkuu kwa kuniombea mema. Binti wa watu kwa sasa ni mjamzito, mwakani tu ntaitwa Baba nanii[emoji120][emoji120] Jana alikua anaumwa umwa, leo nimempeleka hospital amepata huduma. View attachment 2367308 Click to expand... Mbarikiwe siku zote mfike nchi ya ahadi salama
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Sep 25, 2022 #302 Sipendi sana hii tabia ya kuweka X penye S hasa watoto wa siku hizi ndo imekua fasheni
Plan Master JF-Expert Member Joined Jan 1, 2021 Posts 2,188 Reaction score 3,762 Sep 25, 2022 #303 Kalpana said: Sipendi sana hii tabia ya kuweka X penye S hasa watoto wa siku hizi ndo imekua fasheni Click to expand... Sawa dada ntawasihi waache
Kalpana said: Sipendi sana hii tabia ya kuweka X penye S hasa watoto wa siku hizi ndo imekua fasheni Click to expand... Sawa dada ntawasihi waache