Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Yuko radhi kufa kwa ajili yangu

Yuko radhi kuondoka kwao kuja kwangu hata bila mahari, aolewe tu na mimi.

Hajaniomba hata mia, japo aliwahi kuonesha symptoms๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nikakwepa

Nishamwambia sina maisha ya kumfanya aishi katika ndoa ila anataka tu aje hata tukilala chini ya mti, poa tu.

SIKUJIPANGA KUOA ILA ITANIBIDI..
View attachment 2271569
Wewe na yeye bado hamjielewi...kifupi nyie bado watoto...msg za watu kutaka waamie kwangu ziko nyingi sana na hakuna nilietaka aje.. mapenzi hayo ni mapya ataondoka kwao atakuja ataishi hapo miezi kadhaa ataanza pigwa p*mbu utakuja andika uzi mwngne hapa ...nishawahi pata mtu ambae pia nikimpa hela hataki hasikilizi bongo flavour ni radio ya dini na vipindi vya dini kwa tv niliona kama nimepata malaika ila yuko wapi sa hivi

Tena yule alikuwa anajielewa ..huyo wako anaandika XXX jinga kabisa huyo hanaakili utalia siku moja muache akae kwao
 
Back
Top Bottom