Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Wewe na yeye bado hamjielewi...kifupi nyie bado watoto...msg za watu kutaka waamie kwangu ziko nyingi sana na hakuna nilietaka aje.. mapenzi hayo ni mapya ataondoka kwao atakuja ataishi hapo miezi kadhaa ataanza pigwa p*mbu utakuja andika uzi mwngne hapa ...nishawahi pata mtu ambae pia nikimpa hela hataki hasikilizi bongo flavour ni radio ya dini na vipindi vya dini kwa tv niliona kama nimepata malaika ila yuko wapi sa hivi

Tena yule alikuwa anajielewa ..huyo wako anaandika XXX jinga kabisa huyo hanaakili utalia siku moja muache akae kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…