Mwanamke wa kiislamu alivyorudisha mamilioni aliyookota

Mwanamke wa kiislamu alivyorudisha mamilioni aliyookota

Watu wagumu sana kunyoosha mambo kwenye hili la uaminifu waislamu haswa wale wanaoswali wapewe maua yao
Hujawajua bado,uaminifu yeyote anaufanya hata asiyekuwa na dini nafsi ya mtu tu ikiwa siyo ya dhuluma.

Mimi nipo Kariakoo,namfahamu Banian akizidishiwa hela na mteja anairudisha bila kujali ni nyingi au kidogo so huyo anaamini Mungu mnaemuamini ninyi?hata kama wewe nikuzidishie hela yangu utaacha kuniambia huku ukijua fika siyo yako?
 
Hela ikiingia kama muamala wa kiwango hicho utairudisha tu utake usitake huna utakapoitumia umekula mil 3 kabla hujakamatwa
 
alirudisha Naira milioni 330 zilizo ingizwa kimakosa kwenye akaunti yake ya benki
Naira 330m ni sawa na Tsh 573m.
Hivi pesa kiasi hicho ukiingiziwa kimakosa kwenye account yako hata ukiimezea mate utaweza kutoa kirahisi kweli? Labda uwe level za akina Rostam
 
Back
Top Bottom