Hujawajua bado,uaminifu yeyote anaufanya hata asiyekuwa na dini nafsi ya mtu tu ikiwa siyo ya dhuluma.
Mimi nipo Kariakoo,namfahamu Banian akizidishiwa hela na mteja anairudisha bila kujali ni nyingi au kidogo so huyo anaamini Mungu mnaemuamini ninyi?hata kama wewe nikuzidishie hela yangu utaacha kuniambia huku ukijua fika siyo yako?
Naira 330m ni sawa na Tsh 573m.
Hivi pesa kiasi hicho ukiingiziwa kimakosa kwenye account yako hata ukiimezea mate utaweza kutoa kirahisi kweli? Labda uwe level za akina Rostam