Mwanamke wa Kitanga akikutaka anakupata tu

Mzigua 90
 
Kuna jamaa yngu alilipata moja hivi shankupe la hapo migo anakuambia yapo vema sana kwa bedi yaani ni balaa. ila sasa mizinga ikawa sio ya kitoto wakikutana tu anataka ashushe lite kwanza kama tatu nne hivi ndo muanze maongezi mwenyewe anadai eti anapooza koo duu jamaa na senti zake za ngama alishtuka akambwagia mazima na kumblock kulia na kushoto. Manzi akahaha sana kumrudisha jamaa lakini wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina jamaa yangu alipata demu wa kitanga miaka nyuma. Ndani ya wiki moja aliuza shamba la baba yake likiwa na mahindi yamepandwa yana mbelewele hata hakusubiri kuvuna. Baadae tunamuuliza kama aliwekewa ndumba jibu alilokuwa anatoa ni "nyie hamjui tu"...Baadae akasimulia kiwa alikuwa anabebwa mgongoni huku 'double zero' zinachezewa kwa mikono anapelekwa kuogeshwa kwenye maji ya uvuguvugu yaliwekwa iliki. Anasema mpaka kesho harudi tena Tanga maana anaogopa yatamkuta tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka Hadi Basi yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kutekwa akili kijinga hivyo wanawake wa Tanga si kitu wana mapenzi ya kwd ambayo hayana tofauti na haya ya Watoto shombeshombe wa Tabora. #BahariaMzoefu.

5/5
Ina maana mapenzi yao si ya kweli ?
 
Yaani we ulichofanya ni kuwala kwa tamaa zao
 

Mi hapa nilipo sielewi kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…