Mwanamke wa Kitanga akikutaka anakupata tu

Mwanamke wa Kitanga akikutaka anakupata tu

Wangu alikua mtu wa kuvaa stara,dini kwa sana aibu iliypoitiliza alikua akinijali ajabu lakini siku nimekaa sina hili wala lile nikapigiwa simu na njemba inalia kwa uchungu kumbe ilikua inajulikana hadi kwao...sikufanya haraka kumshtumu kwanza sikuamini ikabidi nimchunguze salale mwanamke alikua mchafu balaa na hata wengine walipogundua wakamzingu wote aliwaomba msamaha kwa wakati wake na hakua tayari kumpoteza yeyote.

Yule jamaa aliyenipigia nilimsihi sana amuache akawa mbishi kwa kigezo wametoka mbali na kwao anajulikana demu hatabadilika lakini kilichokuja kumtokea baadae alinitafuta kuniomba radhi.
Ila unachosema kinaweza kuwa na ukweli maana ananitendea vizuri sana mpaka sitaki kuamini kuwa siko peke yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za jioni.

Kuna jambo nimejifunza ila nimechelewa sana kulijua. Lakini huu ndo ukweli. Naamini wanawake wa Kitanga kuna sehemu wanakwenda kufundishwa mambo. Kwa sababu hakuna mwanamke anaejua kumnasa mwanaume kama mwanamke wa kitanga.

Mwanamke wa kitanga akikutaka anakupata. Tena bila hata kukutongoza. Na hela utampa hata asipokuomba. Yamenikuta. Ile mitego aloniwekea nilinasa kilaini sana licha ya kuwa na msimamo. Hapa unapoona nimeshamlipia na kodi japo hajaniomba.

Ila sasa ninachowaza kwanini huwa wnaachika? Maana yasemekana ndo wanaoongoza kuachika. Najiuliza hivyo kwa sababu huyu wangu mie (Msambaa, mweupeee) sitaki hata kumuacha maana nakimata nimekamatika.

Ninachojaribu kusema ni kuwa epuka urafiki na mwanamke wa Kitanga kama una familia maana utajikuta tu unaipuuza familia yako na mkeo ataanza kupata shida. Hawa watu utasema wana PHD ya utundu.
Ni akili yako ndo imekutuma uamini hivo, akili huamini unachojiaminisha..

Kila kitu ni Psychological...ukiamini Wanawake wembamba ni watamu Basi ndo hao utakuwa unawapata, ukiamini wenye misambwanda ndo watamu Basi ndo hao hao utakuwa unawala, hakuna bahati mbaya kwenye maisha!
 
Nilijichanga kwa mwaka mzima miaka ya 90 nikafanikiwa ku make laki moja hiyo pesa ilikuwa ni nyingi kipindi hicho acha masihara!,mzee mtoto wa kitanga aliilamba yote ikabidi niwe kibarua mashambani,nililima miezi miwili ili nipate nauli yakurudi Dar,sijawahi kwenda Tanga tena huwa napitiliza moja kwa moja hadi Arusha


Sent using IPhone X
 
Nilijichanga kwa mwaka mzima miaka ya 90 nikafanikiwa ku make laki moja hiyo pesa ilikuwa ni nyingi kipindi hicho acha masihara!,mzee mtoto wa kitanga aliilamba yote ikabidi niwe kibarua mashambani,nililima miezi miwili ili nipate nauli yakurudi Dar,sijawahi kwenda Tanga tena huwa napitiliza moja kwa moja hadi Arusha


Sent using IPhone X
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulikoma na kilanga nge cha ngeda, "ukala mkaze" kwa sauti ya wenyeji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naelewa ulivyohisi kaka. Maana toto la kitanga likudatishe kama nilivyodata mimi halafu likuache daah!
Daah Kaka acha tu yaani Mambo niliyokuwa napewa sio mchezo

Halafu Sasa alivyo clean paja jeupeee Kama mzungu hakuna doa yaani ule weupe wa kisambaa walah dishi liliyumba mwaka mzima kwa kibuti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ikifika kipindi nikawa naomba nione sura yake maana hata kuongea na Mimi (nilifanya msala)

Nikiona sura yake mapigo ya moyo yanaenda kasi sana halafu roho inasuuzika [emoji1787]

Acheni nilifaidi pale Lile toto la kitanga[emoji39][emoji39][emoji39][emoji1787]

Best of the best until now sijaona Mimi[emoji37][emoji1787]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwai kuishi Dar es salaam, mtaa mmoja unaitwa Azimio Tandika. Kwa kweli nimekutana na wanawake kadhaa wa tanga(watu wazima 45 - 60 ) ambao walikuwa wanalea watoto wenyewe. Nyakati fulani unaeweza usiwaone watoto wao ukiuliza utaambiwa wamekwenda kwa baba zao.
Kwa hiyo kwa hao uliowaona huko azimio ndio takwimu ya wanawake wa tanga kuachika ndoani basi sawa
 
Habari za jioni.

Kuna jambo nimejifunza ila nimechelewa sana kulijua. Lakini huu ndo ukweli. Naamini wanawake wa Kitanga kuna sehemu wanakwenda kufundishwa mambo. Kwa sababu hakuna mwanamke anaejua kumnasa mwanaume kama mwanamke wa kitanga.

Mwanamke wa kitanga akikutaka anakupata. Tena bila hata kukutongoza. Na hela utampa hata asipokuomba. Yamenikuta. Ile mitego aloniwekea nilinasa kilaini sana licha ya kuwa na msimamo. Hapa unapoona nimeshamlipia na kodi japo hajaniomba.

Ila sasa ninachowaza kwanini huwa wnaachika? Maana yasemekana ndo wanaoongoza kuachika. Najiuliza hivyo kwa sababu huyu wangu mie (Msambaa, mweupeee) sitaki hata kumuacha maana nakimata nimekamatika.

Ninachojaribu kusema ni kuwa epuka urafiki na mwanamke wa Kitanga kama una familia maana utajikuta tu unaipuuza familia yako na mkeo ataanza kupata shida. Hawa watu utasema wana PHD ya utundu.
Hiyo mitego ndio kutongozwa kwenyewe, acha kutudanganya eti atakupata bila kukutongoza. Halafu wewe ndio umekuwa mlaini kwake usitusingizie wanaume wote.
 
Nikionaga hizi stori za wanawake wa TA huwa nacheka sana,eti ukikamatwa umekamatika hah hahah hah siwezi jua kwa wenzangu huwa mnapewa nini extra ila kama ni mahaba tu kitandani na madikodiko mezani hakika mimi niliruka viunzi,

Nimesoma chuo cha ualimu Sahare TTC miaka miwili,nililipoti late sana sababu ya noti za kuunga unga maskani kwetu kanda ya ziwa bush ndani ndani huko.Ile nafika tu ndani ya wiki moja nikapata kitoto cha kisambaa white na tako kama lote hadi linachongulia kwenye zile nguo zao nimechapa sana tu nikaona mmoja tu sitaifaidi nikawa nao kama 4 hivi ni kugawa sperm tu no way out,mwaka wa pili maisha yakapinda hatari mother yangu akaugua na ndiyo alikuwa kila kitu,ile tumefunga nikatembea Dar kusaka vibarua kwenye kampuni la vinywaji baridi nikapiga kazi likizo nzima nikapata pesa kidogo yote nikalipa ada nusu mhula,nikabaki empty set lakini mademu zangu ndiyo walinilea mpaka kula na emergency za hapa na pale,Kuna huyu nlikuja kumpata mwaka wa pili naelekea kumaliza nusu mhula yeye akanihamisha na geto kabisa akasema nikapange pale alipopanga yeye,basi tukawa mke na mume kabisa na kwa bahati nzuri mwaka huohuo mzee wake Daktari mstaafu ndiyo alikutwa amepewa mafao basi demu alikuwa na noti za kutosha alinihudumia kila kitu mpaka na pocket money,
Akaanza kuniita Abdul badala ya jina langu la kikristu na nilimwahidi nitabadili dini soon ili tufunge ndoa ya kiislamu,wala sikuwa na mpango huo ila niliamua kuenenda kama anavyotaka ili nitimize adhima yangu.
Mpaka namaliza chuo ndoto zetu zilikuwa tuoane kabisa na alikuwa tayari tufunge ndoa,

Nilipomaliza chuo hata hela ya kukomboa cheti changu sikuwa nayo ikabidi nirudi Dar tena vibaruani ili kusaka hela ya kukomboa vyeti,akanipa nauli na kuendelea kuwasiliana na ikumbukwe muda huohuo nilikuwa nachakata zile pisi mbili kwa nyakati tofauti.

Muda wa kwenda JKT ukafika nikasepa zangu Arusha ile tunakuja kumaliza mafunzo tulikaa kidogo tu ajira zikatoka,wote tukatupwa kanda ya ziwa mikoa tofauti mimi home,yeye ugenini ndoto zetu za kuoana zikafifia kwanza swala la kubadili dini nikasema siwezi,akasema basi tufunge ndoa ya kiserikali nikaona itaniletea matatizo mbeleni hasa kwa wanangu,

Hadithi za watoto wa Kitanga zikaishia hapo,kila manzi alijipa asilimia za kuwa Mrs, lakini wala sikufikiria kabisa kuoa mwanamke wa Pwani hasa kwa yale niliyoyaona kwa muda huo niliokaa huko.

Sasa nikisikia habari za kukamatika Washikaji huwa nacheka sana.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi muha nimeoa tanga (mdigo), siku mzee anapewa taarifa kuwa natarajia kuoa mzee akauliza anaoa mtu wa wapi!? Akapewa jibu mtu wa tanga...mzee alipiga yowe kama kaambiwa mwanae pekee wakiume nimekufa.
Alikaa wiki nzima akiwa analalamika na anamsema bimkubwa kwanini kachelewa kumwambia angestopisha hiyo ndoa coz anaamini watanikosa kabsa.
Kidume nikamuweka chini mzee nkamueleza vzuri na nikamuhakikishia kuwa kila kitu kitakuwa sawa.
Japo yeye alinipa mifano mingi saana ya jamaa zake waliooa tanga au waliofanyia kazi tanga mpka yalifanyika matambiko kigoma ndo wakarudi.
Ila mm nkaoa na mpaka sasa mambo yanaenda vizuri tu, na mimi naamini ndo nimemnasa kweli kweli maana daah
 
Back
Top Bottom