Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Mkuu, minadhani tatizolako ni chamaRais mpya ameshatangazwa na ameshaapishwa adi Gwaji boy kaingia mjengoni lakini mimi bado sijaleta Mrejesho hapa. Sio Kosa langu ni kosa la wadada wa jf, mnaishia kuview tu hata pm hamji
Ushimen na Allency nitawapa pasi ipi ikiwa hamji pm
Kesho trh 11/11 saa 11:11 jioni panapo majaaliwa nitakuja kuleta mrejesho wa huu Uzi wangu. Wadada wa jf mna roho mbaya sn. Kua Mchepuko ndo mnaona ishuu kubwaaaaaa