Mwanamke wa kuwa Mchepuko rasmi anahitajika

Mkuu, minadhani tatizolako ni chama
 
Tangazo liendelee kuwepo kwa maana bado halijapata majibu ya kunifanya nilete Mrejesho. Wanawake wa jf karibuni, Pm ipo wazi kwa ajili yako
 
Tangazo liendelee kuwepo kwa maana bado halijapata majibu ya kunifanya nilete Mrejesho. Wanawake wa jf karibuni, Pm ipo wazi kwa ajili yako
Mkuu Kua serious, unataka mchepuko au una agenda nyengine nyuma ya hilo? Yani tangu 2020 Hadi leo hujapata? Unaishi msituni?
 
Kweli wake hatuna sikuhizi 🤣 nikiwaza jinsi mzee baba anavyojiamini kuwa mke wake hamsaliti hata kidogo nasema hiiiii!
Kiufupi sema hakuna ndoa siku hizi. Mwenzio anayetafuta mchepuko ameoa na mke wake anajiamini kuwa mume wake hachepuki.
 
Kiufupi sema hakuna ndoa siku hizi. Mwenzio anayetafuta mchepuko ameoa na mke wake anajiamini kuwa mume wake hachepuki.
Kweli kabisa ndio imekuwa sawa na maigizo ya kuishi nyumba moja tu kama Big Brother ila ushenzi unaofanyika pembeni ni balaa😀 yani jamaa alikodi na ghetto kwa ajili ya kufanyia ufuska tu ni soo!
 
Mkuu Kua serious, unataka mchepuko au una agenda nyengine nyuma ya hilo? Yani tangu 2020 Hadi leo hujapata? Unaishi msituni?
Nipo siriaz na sina ajenda nyingine zaidi ya kutafuta Mchepuko. Tangu mwaka 2020 Hadi leo 2021 sijapata na ninaishi hapahapa mjini sio porini
Njoo wewe ili tulimalize tatizo hili
 
kwa nini atokee Lindi na Mtwara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…