Mwanamke wa Miaka 76 ajifungua Mtoto wa Kiume, Ethiopia

Mwanamke wa Miaka 76 ajifungua Mtoto wa Kiume, Ethiopia

Isinge KUWA hofu ya kupigw ban ningeweka picha ya mbibi MmOJA anazo piga unaona kabisa HUYU akitenga simuachi mkuu. So kinacho mshepu mwanamke SI UMRI ILA anavojiweka nmewahi kutana na mbibi MmOJA nilipata SHIDA kujua kama ni bibi MPAKA nilipo ambiwa na WATU wanao mfahamu. ACHA TU mkuu pisi za elf mbili znasubiri SANA pale kama n MGENI unatongoza na unapiga.


Kwishaaaaa
 
bibi kuzaa 76 kwangu sio habari
mm nataka kumjua huyo shababy alomtia mimba bibi
km age mate wake basi nataka niende nikachukue madesa kwa babu

ila kama ni bodaboda apongweze BODA
bodaboda = baro baro
 
Anayejali au asiyejali afya yake?
Asiye jali , na kuangalia afya yake mara kwa mara , kuna mifumo ya maisha , stress/ chakula/ magonjwa , unapata kijana ana 20 tu ila uke mkavu, ndio unasikia habari ya matumizi ya mate na vilainishi ni majanga matupu🤔
 
Asiye jali , na kuangalia afya yake mara kwa mara , kuna mifumo ya maisha , stress/ chakula/ magonjwa , unapata kijana ana 20 tu ila uke mkavu, ndio unasikia habari ya matumizi ya mate na vilainishi ni majanga matupu🤔
Ni huzuni Sana,acha nijali afya yangu yasije yakanikuta!
 
Mwanamke MmOJA kutoka nchini Ethiopia. Amethibiyishwa kujifungua mtoto wake WA kwanza akiwa na UMRI WA Miaka 76. Hili ni funzo kwa dada zetu, na wanaume JUU ya uvumilivu KWENYE NDOA. Usikimbilie kuvunja NDOA KISA MKE hazai kua na subra MUNGU ni WA wotee. NDOA nyingi nmeshuhudia Zina vunjika KISA KUTO PATA mtoto. Wengine wamejiua kabisa. USIFANYE maamuzi YOYOTE yenye kukuzuru muamini MUNGU subiriiii


Kwishaaaaaa
Hii habari hujaileta kwa ukamilifu wake siyo kwamba huyo mtoto kapata kwa njia ya asili kabisa tunayoijua sis bali amepata kwa njia ya upandikizaji mimba kimombo wanaita In Vitro Fertilization (IVF)
 
Wengine wamejiua kabisa. USIFANYE maamuzi YOYOTE yenye kukuzuru muamini MUNGU subiriiii
Hii sio sawa kabisa mimi siungi mkono Mabibi kuanza kuzaa, habadani sikubaliani na hii kitu
 
Back
Top Bottom