Mwanamke wa Miaka 76 ajifungua Mtoto wa Kiume, Ethiopia

Mwanamke wa Miaka 76 ajifungua Mtoto wa Kiume, Ethiopia

Mwanamke MmOJA kutoka nchini Ethiopia. Amethibiyishwa kujifungua mtoto wake WA kwanza akiwa na UMRI WA Miaka 76. Hili ni funzo kwa dada zetu, na wanaume JUU ya uvumilivu KWENYE NDOA. Usikimbilie kuvunja NDOA KISA MKE hazai kua na subra MUNGU ni WA wotee. NDOA nyingi nmeshuhudia Zina vunjika KISA KUTO PATA mtoto. Wengine wamejiua kabisa. USIFANYE maamuzi YOYOTE yenye kukuzuru muamini MUNGU subiriiii


Kwishaaaaaa
Mungu ni Mkuu sana,
Kama alivyofanya kwa Sarai akiwa Mzee ,akawa Sara,Mama wa Mataifa... Amefanya kwa huyu Mwanamke.
Na atafanya kwake yeye anayetafuta mtoto kwa muda mrefu,wameitwa Tasa,,, wameitwa wagumba.
Mungu atafanya kwao.
 
Na Baba wa Mtoto naye ni babu ama Yanki?.
 
Mungu ni Mkuu sana,
Kama alivyofanya kwa Sarai akiwa Mzee ,akawa Sara,Mama wa Mataifa... Amefanya kwa huyu Mwanamke.
Na atafanya kwake yeye anayetafuta mtoto kwa muda mrefu,wameitwa Tasa,,, wameitwa wagumba.
Mungu atafanya kwao.
Nimesoma habari yake. Ni habari ya juu juu tu na kuna uwezekano mkubwa kuwa ni hoax za mitandaoni tu.

Assuming kwamba ni kweli. Amejifungulia Toronto Canada japo sites zingine wanasema ni Makele Ethiopia; na hajazaa kwa kutombwa na mwanaume. Amezaa kwa kupandikizwa tena na jopo la wataalamu waliobobea maana trial and errors zilikuwa nyingi. Na amekuwa akitumia hormonal therapy kwa muda mrefu ili kuufanya mwili wake uwe na homoni za kutosha kumlea mtoto tumboni. Ilikuwa ni chalenji kubwa kwa Wanasayansi lakini wametoboa. Ndiyo maana wanasema ni medical breakthrough.

This was not a miracle kwa sense ya akina Sarah ila ni scientific miracle. Wanawake wagumba wenye uwezo sasa wanaweza kupandikizwa mimba Muhimbili na Mloganzila.

My verdict: Kuna uwezekano wa 99% kwamba hii habari siyo ya kweli. Mara Toronto, mara Makele Ethiopia. Tarehe kamili pia inapishana na hata jinsia ya mtoto mara -me mara -ke ali mradi vurugu tupu. This is likely a hoax!

534611477.jpg
 
Baba wa mtoto ana umri gani?

Mpaka umri huo bado anapata periods tu au imetungisha nje akabebeshwa?
 
Mimi ugali na chumvi mkuu,sio mboga Saba!
Ugali na chumvi na hiyo miguu laini wapi na wapi? Kwa kuangalia tu hiyo miguu naweza kuku-analyze vizuri mpaka shepu, ukubwa wa tako, na hata saizi yako ya mbususu, na mengineyo mengi.

Niwache tu! 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Ugali na chumvi na hiyo miguu laini wapi na wapi? Kwa kuangalia tu hiyo miguu naweza kuku-analyze vizuri mpaka hata na shepu, ukubwa wa tako, na hata saizi yako ya mbususu, na mengineyo mengi.

Niwache tu! 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Chenga kweli Wewe🤣🤣🤣🤣
 
Nivumilie tu rafiki yangu. Have been crushing on you for sometimes now. You must be super gorgeous halafu msafi hatari. Huko juu miguu hiyo inakounganikia sijui kukoje yaani....and you are super smart. Shibela dah! Please niwache tu. Wanaume tunakufa kwa mengi jamani - mengine ya kujitakia tu! 😔😔😔
Shibela Leo nimesifiwa na zombie hebu Ni log out nisije nikakuota🤣🤣🤣🤣
 
Nimesoma habari yake. Ni habari ya juu juu tu na kuna uwezekano mkubwa kuwa ni hoax za mitandaoni tu.

Assuming kwamba ni kweli. Amejifungulia Toronto Canada japo sites zingine wanasema ni Makele Ethiopia; na hajazaa kwa kutombwa na mwanaume. Amezaa kwa kupandikizwa tena na jopo la wataalamu waliobobea maana trial and errors zilikuwa nyingi. Na amekuwa akitumia hormonal therapy kwa muda mrefu ili kuufanya mwili wake uwe na homoni za kutosha kumlea mtoto tumboni. Ilikuwa ni chalenji kubwa kwa Wanasayansi lakini wametoboa. Ndiyo maana wanasema ni medical breakthrough.

This was not a miracle kwa sense ya akina Sarah ila ni scientific miracle. Wanawake wagumba wenye uwezo sasa wanaweza kupandikizwa mimba Muhimbili na Mloganzila.

My verdict: Kuna uwezekano wa 99% kwamba hii habari siyo ya kweli. Mara Toronto, mara Makele Ethiopia. Tarehe kamili pia inapishana na hata jinsia ya mtoto mara -me mara -ke ali mradi vurugu tupu. This is likely a hoax!

View attachment 3419287
Huyu dogo analeta habari za urongo urongo sana hapa jukwaani.

Bibi wa miaka 70+ ashenyentwe, apate mimba na azae si uhuni huo.

Kumbe ni jopo la madaktari wamehusika.
 
Back
Top Bottom