Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Mungu ni Mkuu sana,Mwanamke MmOJA kutoka nchini Ethiopia. Amethibiyishwa kujifungua mtoto wake WA kwanza akiwa na UMRI WA Miaka 76. Hili ni funzo kwa dada zetu, na wanaume JUU ya uvumilivu KWENYE NDOA. Usikimbilie kuvunja NDOA KISA MKE hazai kua na subra MUNGU ni WA wotee. NDOA nyingi nmeshuhudia Zina vunjika KISA KUTO PATA mtoto. Wengine wamejiua kabisa. USIFANYE maamuzi YOYOTE yenye kukuzuru muamini MUNGU subiriiii
Kwishaaaaaa
Shibela kumbe nawe kakorofi eeeh!?Umeshapita Nao Nini?π€£π€£π€£π€£π€£
Nimesoma habari yake. Ni habari ya juu juu tu na kuna uwezekano mkubwa kuwa ni hoax za mitandaoni tu.Mungu ni Mkuu sana,
Kama alivyofanya kwa Sarai akiwa Mzee ,akawa Sara,Mama wa Mataifa... Amefanya kwa huyu Mwanamke.
Na atafanya kwake yeye anayetafuta mtoto kwa muda mrefu,wameitwa Tasa,,, wameitwa wagumba.
Mungu atafanya kwao.
Unatafakari uumbaji wa Mungu! πDuuh! umefanya nikae na kutafakari ujue. Lol
Nilishastaafu kwa sasa mimi ni veteran ππUmeshapita Nao Nini?π€£π€£π€£π€£π€£
Mimi ugali na chumvi mkuu,sio mboga Saba!Shibela kumbe nawe kakorofi eeeh!?
Pisikali ya kishua na ukorofi wapi na wapi? π³π³π³
Ugali na chumvi na hiyo miguu laini wapi na wapi? Kwa kuangalia tu hiyo miguu naweza kuku-analyze vizuri mpaka shepu, ukubwa wa tako, na hata saizi yako ya mbususu, na mengineyo mengi.Mimi ugali na chumvi mkuu,sio mboga Saba!
Chenga kweli Weweπ€£π€£π€£π€£Ugali na chumvi na hiyo miguu laini wapi na wapi? Kwa kuangalia tu hiyo miguu naweza kuku-analyze vizuri mpaka hata na shepu, ukubwa wa tako, na hata saizi yako ya mbususu, na mengineyo mengi.
Niwache tu! ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Nivumilie tu rafiki yangu.Chenga kweli Weweπ€£π€£π€£π€£
Shibela Leo nimesifiwa na zombie hebu Ni log out nisije nikakuotaπ€£π€£π€£π€£Nivumilie tu rafiki yangu. Have been crushing on you for sometimes now. You must be super gorgeous halafu msafi hatari. Huko juu miguu hiyo inakounganikia sijui kukoje yaani....and you are super smart. Shibela dah! Please niwache tu. Wanaume tunakufa kwa mengi jamani - mengine ya kujitakia tu! πππ
Huyu dogo analeta habari za urongo urongo sana hapa jukwaani.Nimesoma habari yake. Ni habari ya juu juu tu na kuna uwezekano mkubwa kuwa ni hoax za mitandaoni tu.
Assuming kwamba ni kweli. Amejifungulia Toronto Canada japo sites zingine wanasema ni Makele Ethiopia; na hajazaa kwa kutombwa na mwanaume. Amezaa kwa kupandikizwa tena na jopo la wataalamu waliobobea maana trial and errors zilikuwa nyingi. Na amekuwa akitumia hormonal therapy kwa muda mrefu ili kuufanya mwili wake uwe na homoni za kutosha kumlea mtoto tumboni. Ilikuwa ni chalenji kubwa kwa Wanasayansi lakini wametoboa. Ndiyo maana wanasema ni medical breakthrough.
This was not a miracle kwa sense ya akina Sarah ila ni scientific miracle. Wanawake wagumba wenye uwezo sasa wanaweza kupandikizwa mimba Muhimbili na Mloganzila.
My verdict: Kuna uwezekano wa 99% kwamba hii habari siyo ya kweli. Mara Toronto, mara Makele Ethiopia. Tarehe kamili pia inapishana na hata jinsia ya mtoto mara -me mara -ke ali mradi vurugu tupu. This is likely a hoax!
View attachment 3419287
99.99% it is an internet hoax!Huyu dogo analeta habari za urongo urongo sana hapa jukwaani.
Bibi wa miaka 70+ ashenyentwe, apate mimba na azae si uhuni huo.
Kumbe ni jopo la madaktari wamehusika.