Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Haya mambo yapo toka enzi na enzi.... Kama anakupenda yeye kweli atakupokea mno hadi ujute.... sasa we unampenda kinafki yeye kinafki utajua dunia tambala bovu...... Sema sio mapya yote unayoyaona yalikuepo
Ya 50/50 hayakuwepo tusidanganyane.
Siku hizi kabla hujaoa anakuomba umuoe.!!
Ukishamuoa anaanza kusema tumeoana!!
Manina, yaani nikulipie milioni 3 kwenu uje kusema tumeoana kwangu?
 
Nishakuambia dada yangu wewe unapenda mwanaume ambaye ni malaya by nature. Mwanamme anayejielewa na mwenye tabia nzuri ukimtreat vizuri hawezi kuangaika na wanawake wengine
Duuh mwanaume gani unamuongelea hapo? [emoji23][emoji23]
 
Ya 50/50 hayakuwepo tusidanganyane.
Siku hizi kabla hujaoa anakuomba umuoe.!!
Ukishamuoa anaanza kusema tumeoana!!
Manina, yaani nikulipie milioni 3 kwenu uje kusema tumeoana kwangu?
Yalikuepo sema watu walikua wakijua kutunza Siri za familia zao... Sio sasa mambo yote hadharani
 
Naam
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…