DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Kabisa,Kwa mawazo kama haya ndio maana wanawake wengine wakiona unachelewa kufa wanakutanguliza
Maana akili yote inawaza mali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa,Kwa mawazo kama haya ndio maana wanawake wengine wakiona unachelewa kufa wanakutanguliza
Kibarazani how? Tunafulia bafuni tunatoka kuanika tuuKumtafuna mtu afue au kukupeleka cafe na kulipia bill Ni sehemu ya uwajibikaji Kama mume.
Maana inayotumika Ni pesa,Lile jasho halisi la mwanaume
Mimi pia naifanya sana kwa MKE wangu
Ila sio eti nikalishe makalio kwenye kigoda tufue au tuoshe vyombo kibarazani na MKE wangu. Ni hapana aisee[emoji4]
Mwanaume lazima upambane uweze kuprovide kila kitu kwenye familia,Yani baadhi ya wanaume wanavyovimba kwny huu uzi utadhani wana'provide kila kitu huko majumbani
Mtu anadhani watu wakishakula yatosha...tunashukuru ila that's the bare minimum/basic need
Demokrasia.!??
Kuishi na Mke asiyekuheshimu mkuu unaona ni sawa..!??????...
Hakika WANAUME tunahitaji maombi..
The unpaid Seller toa neno Bro.
Kwani kuna siku wanaume mmewahi kuwa na sababu za msingi za kuwa na michepuko? Hata mfanyiwe yote ulimwenguni hapa mkiamua kutoka nje mnatoka.
Nnachofua nyumbani kwangu huwa Ni boksa zangu na leso TU punde nnapomaliza kuoga.Kibarazani how? Tunafulia bafuni tunatoka kuanika tuu
Waambie hao eti mwanaume anataka apelekewe maji bafuni ya kuoga yeye kujiepelekea hawezi 😂😂
Hili ni swali au?Tukitoka sisi nje ni tamaa zetu ila nyinyi hatuwafikishi mlima kitonga.
Naongezea hapo
Ndoa zilikuwepo zamani tu ila kwa kizazi cha sasa unaoa ili iweje wanawake wenyewe ndo hawa wa "haki sawa"?!
Siku akijiskia kukupa anakupa asipojiskia hata mwaka hakupi utaishia kuona tako tu kwenye nguo na ukithubutu kumlazimisha anakupeleka polisi kwa kosa la ubakaji
Tena hao ndugu ndiyo huwa wa kwanza kunyang'anya mali za kaka yao marehemu na kumsimanga mwanamke kuwa alikuwa hafanyi kazi yete ni kakaa tu nyumbani!! Alikuwa Mama wa nyumbani tu!! Wanachukua kila kitu na kumwachia watoto; sijui awarudishe tumboni!!! Hivi vitu tumeviona!!! Wataanza kudai kimila mwanamke harithi mali na upuuzi kama huo.Mwanaume gani muoga wa maisha hivyo?
Hunaga akiba?
Hunaga assets?
Hunaga ndugu,jamaa na marafiki?
Au unaishi TU ilimradi kumekucha, tule yote leo ya kesho anayajua mungu?
Kwa wanaume wenye kuelewa majukumu yao na kutaka kuleta maendeleo kwenye family. Lakini ukutane na mwanaume suruali, mwanamke usiposimama kidete family imepotea.Kabisa mkuu,
Mwanaume Ndo master plan wa familia
Yuko responsible kwa future nzima ya familia[emoji106]
Hao ni king na j delicious mwanaume huwezi kupika na mke wako kukutuma dukani huku yupo mzima haumwiMale gender inahitaji kuwa protected.
Maana inashambuliwa hata na wanaume wenzao
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hapo kweli maana mwanaume kamili haandiki mambo kama haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa anatafuta tu attention awale mabinti wa humu hana maajabu
Kwanza maji mazito mwanaume ndiye anatakiwa ayabebe. Mwanamke anakubebea ndoo ya litre 20 huku unamfuata nyuma kuna haki kweli?Waambie hao eti mwanaume anataka apelekewe maji bafuni ya kuoga yeye kujiepelekea hawezi [emoji23][emoji23]
Sio atoe mahari nusu.Mnataka haki sawa ila majukumu hamtaki. Ukishaolewa uwe unatoa hela ya kuhudumia familia km kulipia watoto ada, kulipa pango la nyumba na mahitaji mengine.
Hata mahari muwe mnagawana nusu. Kama mahari ni milion 1 utoe laki 5 na yeye atoe. Ndiyo utaweza kusema hivyo na siku jamaa yako akipata mchepuko anaweza kumpelekea maji bafuni anahamia huko.
Chunga kauli yako mwanamke.
Haya mambo yapo toka enzi na enzi.... Kama anakupenda yeye kweli atakupokea mno hadi ujute.... sasa we unampenda kinafki yeye kinafki utajua dunia tambala bovu...... Sema sio mapya yote unayoyaona yalikuepoHuu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi
Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke
Mama yake alichukuliwa tuMama yako aliolewa?