Mwanamke wa uswahilini

Ninakutakia mchana mwema pia mkuu. Sina chuki na watu wa kipato cha juu lakini tujitahidi kadri ya uwezo wetu kuwasaidia wengine kwa maana huo ndio ubinadami.
 
Memory yangu huwaga ipo vizuri sana🤣🤣🤣🤣Kuna rafiki yangu namkumbushaga habari tulifanya miaka ya nyuma anakuwa hakumbuki kabisaaa mi namtajia Hadi tulivyovaa huwa anachekaaa sana....wajukuu zangu watafaidi mastory sana
Wajukuu zangu sijui kama wataambulia kitu maana Mimi ni wale ambao tunabaki na hisia flani kwa watu japo tendo tulilotendewa tumeshasahau 😁😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uswahilini kumekuchaaaa!!
 

Sisy umenishinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nakumbuka nilipataga mashost wa mbagala wakanipeleka mto mzinga kuoga!!! Nilishangaa dar kuna mto? Aiseee nilipata na kibuzi kihindi koko
 
Hongera wewe tajiri

Acha kuwa negative… hakuna mtu anawadhihaki watu wa uswazi halafu asilimia 90 watz wengi wametokea uswazi na kuwa ushuani

Huyo diamond si katokea tandale nani alimshika mkono si juhudi zake peke ake matajiri kibao wameanziaa uswazii

Kingine mimi pia nimekulia uswazi na nawajua kindakindaki japo sina hata tabia moja za kiswazi

Malezi mabovu ya wazazi na watoto kutokujitambua vinapelekea wawe na tabia za hovyo watoto wa rika langu niliosoma nao karibia wote wameishia la 7 wengine form 2 wengine 4 failure mbona mimi sikuishia hapo hii ni kutokana na wazazi wangu walipambana hawakutaka ujinga na sio suala la kuwa na hela

So hakuna mtu anawakejeri hapo ni ndivyo walivyo na wanafanya kwa kupenda wala sio umaskinii na asili na tabia zao na ndio furaha yao kuwa hivyo hata apate pesa nyingi bado atafanya sherehe ya kumsuta mtu tabia ni ngoziiii
 
Sisy umenishinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nakumbuka nilipataga mashost wa mbagala wakanipeleka mto mzinga kuoga!!! Nilishangaa dar kuna mto? Aiseee nilipata na kibuzi kihindi koko
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila wewe mtoto una BALAAA wewe!Sasa pale mtoni mnaogaje pale si Bora mngeenda beach ya bure kule mjimwema kigambonino?
 
Endelea kuniona nipo negative ila dhihaka sio uungwana. Huujui umasikini wewe unasomeshwa mpaka boarding utafanana na mtoto anayekula mara mbili kwa siku?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila wewe mtoto una BALAAA wewe!Sasa pale mtoni mnaogaje pale si Bora mngeenda beach ya bure kule mjimwema kigambonino?

Shule si unajua kujazana ujinga na zile story za ujuaji, bas nikasema sikubali twendeni nikajionee!!! Kwanza nisikitike [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Endelea kuniona nipo negative ila lakini dhihaka sio uungwana. Huujui umasikini wewe unasomeshwa mpaka boarding itafanana na mtoto anayekula mara mbili kwa siku?

Kwani bording ni bei gani

Kama mtu yuko radhi akope kwa kausha damu ili akamtunze shoga yake, anunue vijora vipya kila siku afanye birthday kila week utasema hana hela huyo ni kwamba kuna mambo ya kijinga anayapa kipaumbele zaidi ya mambo ya msingi

So hiyo ni tabia yake na sio umaskini

Hakuna mtu anadhihaki hapa tunaongelea ukweliii
 
Ngoja siku ukiwa mkubwa ndio utajua maisha ni nini. You're too young to understand what it takes to be a man.
 
Achana na maisha ya watu....Mkienda kijijni na wazazi wako nyie ukoo mzima mnaonekana wa maana sababu tu unaishi au unatoka huko uswazi.

Inshort mnakuwa kama popo hamueleweki. Wakipondwa wa mjini unajiweka mbali,wakisifiwa mnajileta.
 
Kudadadeki 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…