mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Nyie ndo huwa wa kishua ndani ya uswazi na huwa mnachukiwa na kusemwa kuwa mnajiskia , kina "beyonce" [emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16] hahaha et wakishua ndani ya uswazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ndo huwa wa kishua ndani ya uswazi na huwa mnachukiwa na kusemwa kuwa mnajiskia , kina "beyonce" [emoji16][emoji16]
Ninakutakia mchana mwema pia mkuu. Sina chuki na watu wa kipato cha juu lakini tujitahidi kadri ya uwezo wetu kuwasaidia wengine kwa maana huo ndio ubinadami.Ni haki yako ya kifikra kuchukulia ulivyochukulia ndugu na si jukumu langu kukuaminisha tofauti . Unayakini gani kuwa siishi maisha ya uswahlini kiasi cha kujua nini hasa kinachoendelea.
Nilichoandika ni uhalisia wa asilimia kubwa ya wanawake wa kiswahili, wewe iite dhihaka mimi naita ukweli. Kwa vile tu jambo haliridhishi basi haluzuiwi kuongelewa kwa hofu ya kusema ni dhihaka.
By the way kuna utofauti mkubwa baina ya ustaarabu na ufukara. Hali yako ya kimaisha haipaswi kuwa muamuzi wa maisha yako binafsi. Wazee wetu walikuwa mafukara lakini hawakujidhalilisha kama wafanyavyo hawa wa sasa katika jina la uswahili na mbaya zaidi wengi wao wanaishi uswahilini hivyo ulitaka niwanasibisha na uhindini au?
Kabla ya kutuhumu tafakari kwanza mada inahusu nini hasa.
Uwe na mchana mwema chief.
Wajukuu zangu sijui kama wataambulia kitu maana Mimi ni wale ambao tunabaki na hisia flani kwa watu japo tendo tulilotendewa tumeshasahau 😁😁Memory yangu huwaga ipo vizuri sana🤣🤣🤣🤣Kuna rafiki yangu namkumbushaga habari tulifanya miaka ya nyuma anakuwa hakumbuki kabisaaa mi namtajia Hadi tulivyovaa huwa anachekaaa sana....wajukuu zangu watafaidi mastory sana
PorridgeKweli kuna mmoja akiwa bar anamuaga bwanake anaenda chooni mara moja, anajificha mahali anapandisha dela wana wanapiga miti anarudi mezani kwa bwanake kula bia.
Da mi sisahau kizembeWajukuu zangu sijui kama wataambulia kitu maana Mimi ni wale ambao tunabaki na hisia flani kwa watu japo tendo tulilotendewa tumeshasahau 😁😁
Wanakula utasema Kuna ndondi yaaniAhahaha 😂.....wamekariri sembe na chips! Wao Wanajua kula ugali wao wa mtama tena ule mwekundu ndio wanapata nguvu! Zaidi wanajipa shida ya kwenda na vijiti vya kujichokonoa haja kubwa vichakani.
Dah huko sijui utanidanganya wapi jamani!Ukifika pale Pugu kajiungeni ukikata kushoto,Kwa raisi,Kwa seremala,kigogosokoni, kinyamwezi,Kwa mbiki,nguvukazi, masantula,Kwa Ngwale Chanika mwisho....vipi niendelee na njia ya Mvuti tutokee mbagala au niingie na ya Homboza?
Hongera wewe tajiri
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila wewe mtoto una BALAAA wewe!Sasa pale mtoni mnaogaje pale si Bora mngeenda beach ya bure kule mjimwema kigambonino?Sisy umenishinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakumbuka nilipataga mashost wa mbagala wakanipeleka mto mzinga kuoga!!! Nilishangaa dar kuna mto? Aiseee nilipata na kibuzi kihindi koko
Endelea kuniona nipo negative ila dhihaka sio uungwana. Huujui umasikini wewe unasomeshwa mpaka boarding utafanana na mtoto anayekula mara mbili kwa siku?Acha kuwa negative… hakuna mtu anawadhihaki watu wa uswazi halafu asilimia 90 watz wengi wametokea uswazi na kuwa ushuani
Huyo diamond si katokea tandale nani alimshika mkono si juhudi zake peke ake matajiri kibao wameanziaa uswazii
Kingine mimi pia nimekulia uswazi na nawajua kindakindaki japo sina hata tabia moja za kiswazi
Malezi mabovu ya wazazi na watoto kutokujitambua vinapelekea wawe na tabia za hovyo watoto wa rika langu niliosoma nao karibia wote wameishia la 7 wengine form 2 wengine 4 failure mbona mimi sikuishia hapo hii ni kutokana na wazazi wangu walipambana hawakutaka ujinga na sio suala la kuwa na hela
So hakuna mtu anawakejeri hapo ni ndivyo walivyo na wanafanya kwa kupenda wala sio umaskinii na asili na tabia zao na ndio furaha yao kuwa hivyo hata apate pesa nyingi bado atafanya sherehe ya kumsuta mtu tabia ni ngoziiii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila wewe mtoto una BALAAA wewe!Sasa pale mtoni mnaogaje pale si Bora mngeenda beach ya bure kule mjimwema kigambonino?
Endelea kuniona nipo negative ila lakini dhihaka sio uungwana. Huujui umasikini wewe unasomeshwa mpaka boarding itafanana na mtoto anayekula mara mbili kwa siku?
Ngoja siku ukiwa mkubwa ndio utajua maisha ni nini. You're too young to understand what it takes to be a man.Kwani bording ni bei gani
Kama mtu yuko radhi akope kwa kausha damu ili akamtunze shoga yake, anunue vijora vipya kila siku afanye birthday kila week utasema hana hela huyo ni kwamba kuna mambo ya kijinga anayapa kipaumbele zaidi ya mambo ya msingi
So hiyo ni tabia yake na sio umaskini
Hakuna mtu anadhihaki hapa tunaongelea ukweliii
Jamaa amesema hapo juu wanaitwa "kauka nikuvae" sijui aliwaona wapi. Tuwasaidie masikini kadri ya uwezo wetu.Uswahilini hawapo hao,,, uswahilini watu Wana vijora pc 50... wenyewe wanakwambia ua jipya limetoka Sasa hao wa Dela Moja wiki nzima kawatoa wapi?
Achana nae watu wa humu Kwa mbwebwe hawajamboJamaa amesema hapo juu wanaitwa "kauka nikuvae" sijui aliwaona wapi. Tuwasaidie masikini kadri ya uwezo wetu.
Achana na maisha ya watu....Mkienda kijijni na wazazi wako nyie ukoo mzima mnaonekana wa maana sababu tu unaishi au unatoka huko uswazi.Kwani bording ni bei gani
Kama mtu yuko radhi akope kwa kausha damu ili akamtunze shoga yake, anunue vijora vipya kila siku afanye birthday kila week utasema hana hela huyo ni kwamba kuna mambo ya kijinga anayapa kipaumbele zaidi ya mambo ya msingi
So hiyo ni tabia yake na sio umaskini
Hakuna mtu anadhihaki hapa tunaongelea ukweliii
Kudadadeki 🤔Wanapenda kuvaa dera bila chupi.
Mafundi vitandani, ukienda kizembe lazima utangaziwe kuwa kimoko chali.
Maisha yao ya ngono sio siri. Kwao ni sifa kutangaza jinsi walivyofanywa na mabwana zao na ndio maana ni rahisi kutembea na marafiki hata 10 kutokana na jinsi wanavyohadithiana.
Hawana gharama kubwa za maintainance, kuanzia nywele mpaka kiatu inaweza isigharimu hata 50,000.
Wanapenda sana kuvaa sare. Ikitoka design mpya ya nguo sio ajabu ukakuta mtaa mzima kila mtu anayo. Na wanahakikisha inavaliwa mpaka iombe poo.
Hawana hiyana kwenye kugawa papuchi hivyo uzoee kugongewa.
Wanaamini mno katika shirki. Akiumwa kichwa lazima aende kwa babu kutazamia.
Wanapenda sana ugomvi, kitu kidogo tu wanachapana.
Wana asili ya uchafu, mtu kuamka na kuanza kuzurula mji mzima bila kuoga ni kawaida.
Wanapenda sana kuazimana vitu. Sio ajabu wakaazimana mpaka chupi.