bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Uswahilini mtu anaachika chumba hichi anaolewa chumba cha pili na hakuna noma maisha yanaendelea tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo sivaagi madela😃😃😃,, ila vyote vinavyosemwa naviona 🤣🤣🤣hebu ntumie picha umeshika dera limechora tako nihakikishe😂
Namba tano sio kweli mkuu, wanawake wengi wa uswazi nimen-dependant hivyo kutegemea wanaume kuendesha maisha yao.huamini wao wamezaliwa kuolewa nakupokea tu kutoka kwa waume zao.1. Hawajui kuigiza wala kuendana na drama za world class life za tiktok, akipenda safari atakunywa na ukimuagizia chakula, hawavungi kukimaliza na kufunga, ukitaka kuona wanawake halisi, nenda uswazi [emoji16]
2. Ni wanawake wavumilivu na wastahimilivu maana wao huamini katika ridhki ndio maana wanaolewa hata na mwanaume anaemiliki chumba kimoja.. Labda uwe mdhembe wa kutafuta ndio utaachwa
3. Wanajua kupika na wana haiba ya kike.. Watoto wa uswazi wanakuzwa kwa ajili ya ndoa kama fanikio na jukumu la kwanza hivyo, wengi huelewa mwanaume anahitaji nini zaidi, kwa maneno na vitendo
4. Hawana choyo na wana utu sanaaaa, yaani kwenye mambo kama msiba hakuna sehemu watu hufarijiwa kwa asilimia zote kama uswazi. Vitu kama sufuria, viti, wapishi na wahudumu sio kitu cha kusababisha stress sababu mashoga na majirani zake watamaliza kazi
5. Ni wanawake wapiganaji, ukisikia kina diamond, ommy dimpoz na wengine wakitoa shuhuda za mama zao kuwapigania, bhasi ujue ni waswazi. Wapo tayari kufanya lolote pale inapoonekana njia kwa familia na watoto wao, ukitaka zile total sacrifice for love, utaikuta kwa wanawake wa uswazi
Sahihu,uko sahihi kabisaaaaa,nyongeza hawajistress namaswala ya maendeleo wao kichwani mwao nikuvaa,kula namaswala ya wanaume ndio agenda zao kubwa,shuluhi naumbea,hawashindi nyumbani kutwa vibarazani kupiga umbea halafu pesa utoe ww mwanaume yy kazi yake nikupiga umbea tu,Hawapendi kazi
Kutwa vibarazan kusengenya
Wanaongoza kuachika sababu ya uhuni
Hupenda kuvaa kanga na kofuli tu
marafiki kushare mwanaume kawaida
yupo radhi ndoa ivunjike kuliko kumnyima kuhudhuria shughulini kila wakati hupenda sana
Kama kuna shughuli Wapo radhi kukodi mziki wa kuanzia laki 2 ilihali nyumba imeezekwa kwa makuti
Huyo naye ndo hao hao wa uswahilinimawardat Kuna miujiza huku
Akikuandikia sms utacheka.Wengi wanapata watoto wakiwa na umri kati ya 13-15
Hawajui kuandika
Uchafu
NAKAZIA !Wanapenda kufuatilia maisha ya watu wengine.
Baadhi Ila sio wote, wapo wanaoketi vibarazani from morning to evening Ila ukitaka kujua ni wahangaikaji, wale wanawake waliojazana masokoni na kwenye stendi za daladala wakifanya biashara ndogo ndogo, wengi wanatokea hukoNamba tano sio kweli mkuu, wanawake wengi wa uswazi nimen-dependant hivyo kutegemea wanaume kuendesha maisha yao.huamini wao wamezaliwa kuolewa nakupokea tu kutoka kwa waume zao.
Naona waswahili mnawasengenya waswahili wenzenu
Ni wepesi kutoa 0713Ngoja tuambiane tabia za wanawake wa uswahilini haya ni baadhi tu wengine mtaongezea kama yapo
1. Wanathamini kuvaa kuliko chakula
2. Hawajui bajeti, ukimpa laki ya matumizi ya kawaida anaenda tafuta mganga
3. Hawana siri kwenye mambo mazuri akinunua kitu atahakikisha kila mtu anajua, ndio maana wanaongoza kwa visherehe visivyo na tija
4. Hawawezi kukaa nyumba yenye geti na eneo lililotulia kwani wamezoea kushinda kwenye miji ya watu
5. Ukiwa na mahusiano ya mapenzi basi familia nzima itajua mama, bibi, shangazi nk
Ongezea mengine kama yapo
Mwananyamala piaWanaishi sana buza
Ahahaha...apo kwenye pango la nyumba duh..Wanajua kuikatikia.
Unaweza hongo chipsi kavu mbili ukala familia yote.
Ukiwaripia pango la nyumba wanakuita freemasons
Duh..🤣🤣🤣Mbona huyu anafanana na kile chuma cha mjerumani kausha damu ngangari pale mjengoni?
Yani utasema wanakudai ...apa umeua mkuuWanapenda kufuatilia maisha ya watu wengine.