Mwanamke wa uswahilini

Mwanamke wa uswahilini

1. Hawajui kuigiza wala kuendana na drama za world class life za tiktok, akipenda safari atakunywa na ukimuagizia chakula, hawavungi kukimaliza na kufunga, ukitaka kuona wanawake halisi, nenda uswazi [emoji16]

2. Ni wanawake wavumilivu na wastahimilivu maana wao huamini katika ridhki ndio maana wanaolewa hata na mwanaume anaemiliki chumba kimoja.. Labda uwe mdhembe wa kutafuta ndio utaachwa

3. Wanajua kupika na wana haiba ya kike.. Watoto wa uswazi wanakuzwa kwa ajili ya ndoa kama fanikio na jukumu la kwanza hivyo, wengi huelewa mwanaume anahitaji nini zaidi, kwa maneno na vitendo

4. Hawana choyo na wana utu sanaaaa, yaani kwenye mambo kama msiba hakuna sehemu watu hufarijiwa kwa asilimia zote kama uswazi. Vitu kama sufuria, viti, wapishi na wahudumu sio kitu cha kusababisha stress sababu mashoga na majirani zake watamaliza kazi

5. Ni wanawake wapiganaji, ukisikia kina diamond, ommy dimpoz na wengine wakitoa shuhuda za mama zao kuwapigania, bhasi ujue ni waswazi. Wapo tayari kufanya lolote pale inapoonekana njia kwa familia na watoto wao, ukitaka zile total sacrifice for love, utaikuta kwa wanawake wa uswazi
Namba tano sio kweli mkuu, wanawake wengi wa uswazi nimen-dependant hivyo kutegemea wanaume kuendesha maisha yao.huamini wao wamezaliwa kuolewa nakupokea tu kutoka kwa waume zao.
 
Hawapendi kazi
Kutwa vibarazan kusengenya
Wanaongoza kuachika sababu ya uhuni
Hupenda kuvaa kanga na kofuli tu
marafiki kushare mwanaume kawaida
yupo radhi ndoa ivunjike kuliko kumnyima kuhudhuria shughulini kila wakati hupenda sana
Kama kuna shughuli Wapo radhi kukodi mziki wa kuanzia laki 2 ilihali nyumba imeezekwa kwa makuti
 
Hawapendi kazi
Kutwa vibarazan kusengenya
Wanaongoza kuachika sababu ya uhuni
Hupenda kuvaa kanga na kofuli tu
marafiki kushare mwanaume kawaida
yupo radhi ndoa ivunjike kuliko kumnyima kuhudhuria shughulini kila wakati hupenda sana
Kama kuna shughuli Wapo radhi kukodi mziki wa kuanzia laki 2 ilihali nyumba imeezekwa kwa makuti
Sahihu,uko sahihi kabisaaaaa,nyongeza hawajistress namaswala ya maendeleo wao kichwani mwao nikuvaa,kula namaswala ya wanaume ndio agenda zao kubwa,shuluhi naumbea,hawashindi nyumbani kutwa vibarazani kupiga umbea halafu pesa utoe ww mwanaume yy kazi yake nikupiga umbea tu,
 
Namba tano sio kweli mkuu, wanawake wengi wa uswazi nimen-dependant hivyo kutegemea wanaume kuendesha maisha yao.huamini wao wamezaliwa kuolewa nakupokea tu kutoka kwa waume zao.
Baadhi Ila sio wote, wapo wanaoketi vibarazani from morning to evening Ila ukitaka kujua ni wahangaikaji, wale wanawake waliojazana masokoni na kwenye stendi za daladala wakifanya biashara ndogo ndogo, wengi wanatokea huko

Hakuna mwanamke wa ushuani anaedamka saa tisa hadi kumi kwenda ferry, stereo au msimbazi kujumua samaki, matunda na mbogamboga kwa ajili ya kuuza.. Ni waswazi

Hata huko uswahilini kwenyewe wauza soup za mapupu, wakaanga chapati, mihogo, maandazi ni wenyewe.. Wanaoptisha vitenge na vyombo vya mikopo ni wenyewe

Sisemi hizi stereotypes zipo totally wrong Ila zimekuzwa kuliko uhalisia wenyewe na wengi humu wanavyoongea unajua kabisa, uswazi anaujulia kwa zai wa kijiwe nongwa au vile vipindi vinavyoonesha shughuli zao za ajab ajab YouTube Ila hajawahi kuishi
 
Ngoja tuambiane tabia za wanawake wa uswahilini haya ni baadhi tu wengine mtaongezea kama yapo

1. Wanathamini kuvaa kuliko chakula
2. Hawajui bajeti, ukimpa laki ya matumizi ya kawaida anaenda tafuta mganga
3. Hawana siri kwenye mambo mazuri akinunua kitu atahakikisha kila mtu anajua, ndio maana wanaongoza kwa visherehe visivyo na tija
4. Hawawezi kukaa nyumba yenye geti na eneo lililotulia kwani wamezoea kushinda kwenye miji ya watu
5. Ukiwa na mahusiano ya mapenzi basi familia nzima itajua mama, bibi, shangazi nk

Ongezea mengine kama yapo
Ni wepesi kutoa 0713
 
Nilipata mmoja wapo jmn nikajidanganya kufall in love na yeye, nimekula mara 4 mara ya 5 akanipa Gono kmmK, nilimwambia ukweli kuwa cjakutana na m/mke mwngn yyte kimwili tng nianze kuwa nae akawa anajiumauma nikamjibu tu ujatulia mpuuzi wew mara.

Kiukweli kubajeti pesa hawajui, Ni Wana midomo michafu matusi kwao km salamu, kauli mbovu, Wana viburi ingali maisha yao Ni duni balaa, imani za kishirikina kwao Ni tamaduni,

Ila kitandani jmn wale viumbe Ni nyoko balaa, kwa hili tu ndio nawapongeza na kuwapa nyota zao 5...[emoji23] Ni mafundi sio mchzo
 
Back
Top Bottom