Mwanamke wa uswahilini

Mwanamke wa uswahilini

Hata huko kudanga pia ni dalili ya umasikini. Angekuwa anafanya kazi kama Manager wa BOT angedanga? Alafu kudanga vile vile ni hulka ya mtu na sio ku generalize kwamba masikini wooote wanadanga.
Malezi mabovu wazazi wao uwaambia wajitegemee washakuwa wakubwa sasa mtoto wa darasa la sababu anajitegemeaje nje ya kudanga
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umbeaaaaaaa haki ya nani ni wambea halafu umbea wa uongo unaweza kuzushiwa jambo mpk ukaogopaa…

Yaani mimi mtaani kwetu sina rafiki ukiona nimetoka ni dukani na kusalimiana kawaida naogopa hata kujichanganya nisije zushiwa jambo

Ila napenda sana sherehe zao huwa naenda mpk kuangalia wanavyochezacheza na madela yao wanatingisha tako moja moja wengine hawajavaa chupi wengine wanapandisha dera wanaonyesha chupi [emoji1787]
Nyie ndo huwa wa kishua ndani ya uswazi na huwa mnachukiwa na kusemwa kuwa mnajiskia , kina "beyonce" 😁😁
 
sasa gomz na chanika ulienda kufanya nini maana vituo hadi vya huko unavijua 😁😁😁
Dah huko sijui utanidanganya wapi jamani!Ukifika pale Pugu kajiungeni ukikata kushoto,Kwa raisi,Kwa seremala,kigogosokoni, kinyamwezi,Kwa mbiki,nguvukazi, masantula,Kwa Ngwale Chanika mwisho....vipi niendelee na njia ya Mvuti tutokee mbagala au niingie na ya Homboza?
 
Malezi mabovu wazazi wao uwaambia wajitegemee washakuwa wakubwa sasa mtoto wa darasa la sababu anajitegemeaje nje ya kudanga
Kumwambia mtoto wa darasa la saba ajitegemee huo ni umasikini. Hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake anafanya ukahaba pale Buguruni au Tandika ilhali anaweza kumpa mtaji kama 6 millions afanye biashara. Saidia masikini, usiwacheke wala kuwafanyia dhihaka.
 
Dah huko sijui utanidanganya wapi jamani!Ukifika pale Pugu kajiungeni ukikata kushoto,Kwa raisi,Kwa seremala,kigogosokoni, kinyamwezi,Kwa mbiki,nguvukazi, masantula,Kwa Ngwale Chanika mwisho....vipi niendelee na njia ya Mvuti tutokee mbagala au niingie na ya Homboza?
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 😁😁😁
Itabidi uanzishe ofisi ya kutembeza watalii wa ushuani to uswazi, kazi inakufaaa

Ubongo wangu hauwezi kukariri hizo vitu zote, lazma nitasahau 😁😁, ila wewe ukizeeka utakuwa kama wale wabibi wanaosimulia habari za bonde la mpunga mikocheni hadi ramani nzima ya mto msimbazi 😁😁🙌🏾🙌🏾
 
Memory yangu huwaga ipo vizuri sana🤣🤣🤣🤣Kuna rafiki yangu namkumbushaga habari tulifanya miaka ya nyuma anakuwa hakumbuki kabisaaa mi namtajia Hadi tulivyovaa huwa anachekaaa sana....wajukuu zangu watafaidi mastory sana
 
Dhihaka sio comedy mkuu. Mbona akina Jotty wanafanya comedy na hawadhihaki ufukara wa mtu?
Ni haki yako ya kifikra kuchukulia ulivyochukulia ndugu na si jukumu langu kukuaminisha tofauti . Unayakini gani kuwa siishi maisha ya uswahlini kiasi cha kujua nini hasa kinachoendelea.

Nilichoandika ni uhalisia wa asilimia kubwa ya wanawake wa kiswahili, wewe iite dhihaka mimi naita ukweli. Kwa vile tu jambo haliridhishi basi halizuiwi kuongelewa kwa hofu ya kusema ni dhihaka.

By the way kuna utofauti mkubwa baina ya ustaarabu na ufukara. Hali yako ya kimaisha haipaswi kuwa muamuzi wa maisha yako binafsi. Wazee wetu walikuwa mafukara lakini hawakujidhalilisha kama wafanyavyo hawa wa sasa katika jina la uswahili na mbaya zaidi wengi wao wanaishi uswahilini hivyo ulitaka niwanasibisha na uhindini au?

Kabla ya kutuhumu tafakari kwanza mada inahusu nini hasa.

Uwe na mchana mwema chief.
 
Back
Top Bottom