Ramon Sanchez
JF-Expert Member
- Oct 9, 2022
- 767
- 1,850
Dhihaka sio comedy mkuu. Mbona akina Jotty wanafanya comedy na hawadhihaki ufukara wa mtu?Maisha ni mafupi mno kuchukulia kila kitu serious chief.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhihaka sio comedy mkuu. Mbona akina Jotty wanafanya comedy na hawadhihaki ufukara wa mtu?Maisha ni mafupi mno kuchukulia kila kitu serious chief.
Hiyo kali sasa
Hawataki shule ili wafute ujinga wafute umasikiniUfukara ni m-baya sana. Nimeishi uswahilini more than 20 years hivyo ninaujua vema. Masikini wasaidiwe na sio kufanyiwa dhihaka.
Watu wa uswahilini hawaendi shule?Hawataki shule ili wafute ujinga wafute umasikini
Malezi mabovu wazazi wao uwaambia wajitegemee washakuwa wakubwa sasa mtoto wa darasa la sababu anajitegemeaje nje ya kudangaHata huko kudanga pia ni dalili ya umasikini. Angekuwa anafanya kazi kama Manager wa BOT angedanga? Alafu kudanga vile vile ni hulka ya mtu na sio ku generalize kwamba masikini wooote wanadanga.
Nyie ndo huwa wa kishua ndani ya uswazi na huwa mnachukiwa na kusemwa kuwa mnajiskia , kina "beyonce" 😁😁[emoji23][emoji23][emoji23] umbeaaaaaaa haki ya nani ni wambea halafu umbea wa uongo unaweza kuzushiwa jambo mpk ukaogopaa…
Yaani mimi mtaani kwetu sina rafiki ukiona nimetoka ni dukani na kusalimiana kawaida naogopa hata kujichanganya nisije zushiwa jambo
Ila napenda sana sherehe zao huwa naenda mpk kuangalia wanavyochezacheza na madela yao wanatingisha tako moja moja wengine hawajavaa chupi wengine wanapandisha dera wanaonyesha chupi [emoji1787]
Dah huko sijui utanidanganya wapi jamani!Ukifika pale Pugu kajiungeni ukikata kushoto,Kwa raisi,Kwa seremala,kigogosokoni, kinyamwezi,Kwa mbiki,nguvukazi, masantula,Kwa Ngwale Chanika mwisho....vipi niendelee na njia ya Mvuti tutokee mbagala au niingie na ya Homboza?sasa gomz na chanika ulienda kufanya nini maana vituo hadi vya huko unavijua 😁😁😁
Kumwambia mtoto wa darasa la saba ajitegemee huo ni umasikini. Hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake anafanya ukahaba pale Buguruni au Tandika ilhali anaweza kumpa mtaji kama 6 millions afanye biashara. Saidia masikini, usiwacheke wala kuwafanyia dhihaka.Malezi mabovu wazazi wao uwaambia wajitegemee washakuwa wakubwa sasa mtoto wa darasa la sababu anajitegemeaje nje ya kudanga
Hao tunawadiss sana🤣Nyie ndo huwa wa kishua ndani ya uswazi na huwa mnachukiwa na kusemwa kuwa mnajiskia , kina "beyonce" 😁😁
Hongera wewe tajiri[emoji23][emoji23] mbona hamjakosea sema tu kuna mambo munafanya yanakeraa
Uswahilini hawapo hao,,, uswahilini watu Wana vijora pc 50... wenyewe wanakwambia ua jipya limetoka Sasa hao wa Dela Moja wiki nzima kawatoa wapi?Ninaongelea wanaovaa dela moja wiki nzima.
Achana nao hao watoto wa vigogo wa Masaki wana dhihaka sana.
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 😁😁😁Dah huko sijui utanidanganya wapi jamani!Ukifika pale Pugu kajiungeni ukikata kushoto,Kwa raisi,Kwa seremala,kigogosokoni, kinyamwezi,Kwa mbiki,nguvukazi, masantula,Kwa Ngwale Chanika mwisho....vipi niendelee na njia ya Mvuti tutokee mbagala au niingie na ya Homboza?
Wewe ukifanya sex hausemi kuwa ni source of income, lakini akifanya wa uswahilini ndio unasema anafanya kwa sababu ana shida ya pesa? Acha dharau wewe mtoto wa Masaki.Source of income lazima ipigwe msasa vema
Pili pili iyowekwa kwenye chachandu ukiila....joto lake ni kama Viagra. Ukimaliza kula tu mchana ...unawasha feni unamwita Mama Sihuyu amalize aushushe huo moto. 😂😂ugali wa sembe utadinda kweli??😅
Memory yangu huwaga ipo vizuri sana🤣🤣🤣🤣Kuna rafiki yangu namkumbushaga habari tulifanya miaka ya nyuma anakuwa hakumbuki kabisaaa mi namtajia Hadi tulivyovaa huwa anachekaaa sana....wajukuu zangu watafaidi mastory sana🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 😁😁😁
Itabidi uanzishe ofisi ya kutembeza watalii wa ushuani to uswazi, kazi inakufaaa
Ubongo wangu hauwezi kukariri hizo vitu zote, lazma nitasahau 😁😁, ila wewe ukizeeka utakuwa kama wale wabibi wanaosimulia habari za bonde la mpunga mikocheni hadi ramani nzima ya mto msimbazi 😁😁🙌🏾🙌🏾
🤣🤣🤣🤣🤣Msiwape Siri zetu waacheni waendelee kufakamia magimbi....Pili pili iyowekwa kwenye chachandu ukiila....joto lake ni kama Viagra. Ukimaliza kula tu mchana ...unawasha feni unamwita Mama Sihuyu amalize aushushe huo moto. 😂😂
Ni haki yako ya kifikra kuchukulia ulivyochukulia ndugu na si jukumu langu kukuaminisha tofauti . Unayakini gani kuwa siishi maisha ya uswahlini kiasi cha kujua nini hasa kinachoendelea.Dhihaka sio comedy mkuu. Mbona akina Jotty wanafanya comedy na hawadhihaki ufukara wa mtu?
Ahahaha 😂.....wamekariri sembe na chips! Wao Wanajua kula ugali wao wa mtama tena ule mwekundu ndio wanapata nguvu! Zaidi wanajipa shida ya kwenda na vijiti vya kujichokonoa haja kubwa vichakani.🤣🤣🤣🤣🤣Msiwape Siri zetu waacheni waendelee kufakamia magimbi....
Wewe umefika chuo kikuu kwa sababu baba yako ni tajiri. Hongera sana.Wengi ni darasa la sana au la tano au ameishia la nne😁😁