Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Nitamu Kwa kuwa wanavyopika wanakuwa na Dela chukuchukuMpaka supermarkerts kubwa kubwa ipo vizuri tu.. ila ya kupika mwenyewe sio mitam kama ya kunnua mtaani uswahilini huko😋😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitamu Kwa kuwa wanavyopika wanakuwa na Dela chukuchukuMpaka supermarkerts kubwa kubwa ipo vizuri tu.. ila ya kupika mwenyewe sio mitam kama ya kunnua mtaani uswahilini huko😋😋
Sherehe wanaita shughuli,utasikia Leo Nina Shughuli ya mdogo wangu, Perfume zao buku jero harufu kali.
Bwana bwana siku ya kwanza atajishusha baada ya wiki mbili utajuta na ukimpa ujauzito ndio utajuta zaidiHawajui kujishusha. Ukidate naye kama mchipuko atataka ampindue wife kutoka kwenye nafasi yake na ikibidi hata kumroga ili abaki peke yake. Wapuuzi sana hawa wanawake.
Ndiyo man mimi sijadhihaki mtu ani kauka nikuvae mbona hata mimi ninazo, pia nmewahi kua na manzi miaka hiyo alkua anapaka mikorogo ya afutatu hahaaaSawa mkuu. Labda mimi ndio nina shida ya uelewa.
Sawa ndugu yangu, yote maisha. Wale wa ushuani na sisi wa uswahilini wote binadamu tupendane.Ndiyo man mimi sijadhihaki mtu ani kauka nikuvae mbona hata mimi ninazo, pia nmewahi kua na manzi miaka hiyo alkua anapaka mikorogo ya afutatu hahaaa
[emoji817]Noma Sana.
Demu wa Uswahilini na wa Ushuani wote akili zao zinafanana wanatofautiana utanashati/personality.
_Huyu atavaa wigi la afutatu huyu atavaa Brazilian air
-Huyu atavaa dera huyu atavaa LV
-Huyu atapaka mkorogo wa afusaba huyu wa laki 5
-Huyu atatumiwa afusita ya nauli huyu atafatwa na gari au atalipiwa Uber.
-Huyu atagongewa guest za afumbili huyu atagongewa hotelini
MmmhWanajua kuikatikia.
Unaweza hongo chipsi kavu mbili ukala familia yote.
Ukiwaripia pango la nyumba wanakuita freemasons
Mikopo kausha damu wanaishia kuliwa mbususu....ngoja nijiongezeNgoja tuambiane tabia za wanawake wa uswahilini, haya ni baadhi tu wengine mtaongezea kama yapo
1. Wanathamini kuvaa kuliko chakula.
2. Hawajui bajeti, ukimpa laki ya matumizi ya kawaida anaenda tafuta mganga.
3. Hawana siri kwenye mambo mazuri, akinunua kitu atahakikisha kila mtu anajua, ndio maana wanaongoza kwa visherehe visivyo na tija.
4. Hawawezi kukaa nyumba yenye geti na eneo lililotulia kwani wamezoea kushinda kwenye mij33i ya watu.
5. Ukiwa na mahusiano ya mapenzi basi familia nzima itajua; mama, bibi, shangazi, nk.
6. Wanapenda mikopo kausha damu, huku hawana biashara yoyote.
7. Yupo radhi auze kitu chochote ili atoe mchango wa shughuli.
Ongezea mengine kama yapo.
Watafune mkuuMikopo kausha damu wanaishia kuliwa mbususu....ngoja nijiongeze
🤣🤣🤣🙌Mikopo kausha damu wanaishia kuliwa mbususu....ngoja nijiongeze
Eeh kumbe kuna mbususu za bure bure mtaani🤣🤣🤣🙌
😀😀😀😀😀😀😀😀😀Wanapenda kuvaa viatu vya manyoya
Aloooo...kumbe chips kavu unakula mbususu je chips yai na mishkaki na soda sii wanakususia kabisa tigoWanajua kuikatikia.
Unaweza hongo chipsi kavu mbili ukala familia yote.
Ukiwaripia pango la nyumba wanakuita freemasons