Mwanamke wa uswahilini

Mwanamke wa uswahilini

Hawajui kujishusha. Ukidate naye kama mchipuko atataka ampindue wife kutoka kwenye nafasi yake na ikibidi hata kumroga ili abaki peke yake. Wapuuzi sana hawa wanawake.
Bwana bwana siku ya kwanza atajishusha baada ya wiki mbili utajuta na ukimpa ujauzito ndio utajuta zaidi
 
Akimuita dinner wanakuja tisa na wanabeba vyakula
 
Kila mtoto aliye mzaa na baba yake, ukioa ndugu zake wanahamia nyumbani kwako wakiwemo wa kiume.
 
Noma Sana.

Demu wa Uswahilini na wa Ushuani wote akili zao zinafanana wanatofautiana utanashati/personality.

_Huyu atavaa wigi la afutatu huyu atavaa Brazilian air
-Huyu atavaa dera huyu atavaa LV
-Huyu atapaka mkorogo wa afusaba huyu wa laki 5
-Huyu atatumiwa afusita ya nauli huyu atafatwa na gari au atalipiwa Uber.
-Huyu atagongewa guest za afumbili huyu atagongewa hotelini
[emoji817]
 
Tabia nyingi hata wakishua wanazo, ni vile hao wengineo ni makeke mengi tu,
 
Ngoja tuambiane tabia za wanawake wa uswahilini, haya ni baadhi tu wengine mtaongezea kama yapo

1. Wanathamini kuvaa kuliko chakula.
2. Hawajui bajeti, ukimpa laki ya matumizi ya kawaida anaenda tafuta mganga.
3. Hawana siri kwenye mambo mazuri, akinunua kitu atahakikisha kila mtu anajua, ndio maana wanaongoza kwa visherehe visivyo na tija.
4. Hawawezi kukaa nyumba yenye geti na eneo lililotulia kwani wamezoea kushinda kwenye mij33i ya watu.
5. Ukiwa na mahusiano ya mapenzi basi familia nzima itajua; mama, bibi, shangazi, nk.
6. Wanapenda mikopo kausha damu, huku hawana biashara yoyote.
7. Yupo radhi auze kitu chochote ili atoe mchango wa shughuli.

Ongezea mengine kama yapo.
Mikopo kausha damu wanaishia kuliwa mbususu....ngoja nijiongeze
 
Wanajua kuikatikia.


Unaweza hongo chipsi kavu mbili ukala familia yote.

Ukiwaripia pango la nyumba wanakuita freemasons
Aloooo...kumbe chips kavu unakula mbususu je chips yai na mishkaki na soda sii wanakususia kabisa tigo
 
Back
Top Bottom