Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata Kijana mwenye gari! Sasa anatamani kuwa na mimi tena

Na huwezi miliki gari kama huna pesa
 
Kisasi na kumbukumbu mbaya ni sehemu ya maradhi ya akili.
Mpaka sasa lengo la huu uzi wako ni nini haswa?
 
Kuachana na mtu haiimanishi huwezi mjulia hali, au mpaka usikie kafa ukahudhurie Msiba
Hivi hizo akili na mawazo ya kijinga mnayatoaga wapi nyie watoto wa siku hizi?

Ukiachana na mtu jifunze kukata mawasiliano mazima. Haijalishi mmeachana kwa ubaya au kwa wema. Mambo ya mawasiliano ni ushenzi mtupu.

Labda nikuulize kitu. Ikitokea umeoa au umepata mpenzi mwengine. Halafu ukagundua huyo mpenzi wako bado anajuliana hali na kuwasiliana na mpenzi wake wa zamani utajiskia poa?

Nyie ndio mnaofanya taasisi ya ndoa na mahusiano kukengeuka siku hizi. Ndio maana vijana wamesanuka hawataki kabisa kuoa.
 
Wanawake hawana akili ya kutafakari mambo yeye ana amini anachokiona tu.
 
Nakazia hapa mkuu, kuna jambo la kujifunza hapa
 
katafute jukwaa la watoto wenzio
 
Nakukumbusha upo Jamiiforums na sio facebook
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…