Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
FursaHuyo umeingia kwake kama fulsa
Kwa hiyo malipo yake ni mbususu?Na yeye kama hataki kuombwa si atumie sabuni
Duh noma.Sasa mshahara wake anapeleka wap?Damn. ππππ umekuwa ajira yake. Aka umekua fursa yake.
Si bora ukanunue tu Sasa.Kwa hiyo malipo yake ni mbususu?
Kataa ndoa tunajambo letu 2025 mwingine huyu hapa namuachia manyoya shwaaaah uzuri ashalambwa mara mbili japo sikuwa na mpango wa kumuacha ila kwa haya mashuti aisee nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine.
Mimi siwezi kufanya mambo yote hayo mimi sio baba yako. Kila mtu afe na chake
Kmmk hawa wanawake sasa naona wanaanza kutuchezea mapumbuzz....wee 500k unaomba kirahirahisi hivyo kwamba zinaokotwa!Kataa ndoa tunajambo letu 2025 mwingine huyu hapa namuachia manyoya shwaaaah uzuri ashalambwa mara mbili japo sikuwa na mpango wa kumuacha ila kwa haya mashuti aisee nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine.
Mimi siwezi kufanya mambo yote hayo mimi sio baba yako. Kila mtu afe na chake
Ni danga mkuu uhitaji uwepo wa daktari.Huyo siyo mwanamke bali ni mnyonya damu au chuma ulete.
Huko kazini kwake hawalipwe mishahara hadi wewe ndiye uwe unamlipia nauli? Hiyo biashara yake ina faida gani kama akutaka kuagiza mzigo China anaanza kuwachangisheni mnao mgonga? Huyo mwanamke ni duka
Huitaji ata mungu kujua mwanamke mwema bwana. Sasa kama huyu kweli unahitaji mungu akuonyeshe kuwa hafai?Mke mwenye busara hutoka kwa Bwana angalia sana njia unazopita kijana shetani ana njia nyingi za kuangusha uchumi wako
Piga magoti wiki moja mara tatu kwa siku omba Toba jitakase kwanza omba Mungu akupe mke mwema andaa na sadaka yako nenda jumapili katoe sadaka kumshukuru Mungu hivi ndio mke mwema anavyopatikana tena Mungu atakupa mwanamke wa ujana wako nazani umenielewa
Jibu ni ππΎHuyo hakupendi, sio mwanamke wako sababu ana mwanaume wake anayempenda sana na sio wewe
πππ 500k January hii ni bora kununua aisee mapenz ni cost sana saiv.Kmmk hawa wanawake sasa naona wanaanza kutuchezea mapumbuzz....wee 500k unaomba kirahirahisi hivyo kwamba zinaokotwa!
Dah aisee vijana kwa kweli wacha tuendelee na nyeto ya mlenda. Kweli hawana huruma na sie sasa na sie ni mwendo wakuzalisha single maza yaani mpaka tz ijulikane ulimaenguni kama kiwanda cha single mazas
Kabisa bora ukanunue mbususu hapo laki tano hiyo budget ya mwaka mzima wa kula mbususu.πππ 500k January hii ni bora kununua aisee mapenz ni cost sana saiv.
Hii ni mbaya sana hata kama ulikuwa una malengo mazuri nayeye aisee inabidi ukimbie tuWote wako hivyo sijui kwanini.
Ukiwa huna hela anakuona tΓ kataka tuu.
Yeah kabisa mkuuNa wewe muoroodheshee mahitaji yako
πππMadem wengi ni omba omba, kwao mahusiano ni sehemu ya kujichotea pesa.
NAMNA MWANAMKE ANAVYOKUONA MKIINGIA KWENYE MAHUSIANO.View attachment 3198852