Mwanamke wangu ananiomba sana hela. Kwa hali hii nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine

Mwanamke wangu ananiomba sana hela. Kwa hali hii nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine

Huyo siyo mwanamke bali ni mnyonya damu au chuma ulete.
Huko kazini kwake hawalipwe mishahara hadi wewe ndiye uwe unamlipia nauli? Hiyo biashara yake ina faida gani kama akutaka kuagiza mzigo China anaanza kuwachangisheni mnao mgonga? Huyo mwanamke ni duka
😂😂😂😂
 
Hapo ulipo ukute hata ya kula huna
Kajamba nani unamaanisha maskini? Lugha ya zamani sana hiyo mkuu. 😀😀😀😀Hawa kataa ndoa wengi ni masikini na wanajitafuta.

Mbona pesa ndogo sana. Mwambie atupe namba yake huyo dada inbox tumsaidie hizo pesa ndogo ndogo anazohitaji huyo demu
 
Kwa nini uanze kutongoza mke asiye wako? Hiyo ni hatari.

Kuna wanawake wako kwenye ndoa wanatumika kimaagano.

Namaanisha kuna wanaume wameweka ndoano kwa wake zao, ukilala nae tu ujue, uwezo wako wa kiuchumi na nguvu asilia zimebebwa.

Hujawahi kuona mwanaume anachukulia poa tu hata mke wake akigongwa nje? Na anajua kabisa.

Tena ndio anazidi kumzawadia zawadi ya vitu vya bei ghali!?
 
Mkuu

Mkuu hili haupo peke akoo kaka na mimi nimekimbia mbio aisee yaani mtu anakuachia mizigo yote kila kitu na anapenda vizur na hana ya kutosha aisee
Mkuu uwez amini huyo mtoto juzi nilikuwa nae nikampa 30k akasuka halafu wakati wa kuondoka nikampa 50k nikajua itamsogeza leo tu tayari napewa bili nyingine na hapo bado anataka nimlipie kodi. So mtu wa hivi hata umfanyie nini atosheki bora kukimbia tu
 
Mwanamke anayeombaomba hela hovyohovyo ni mpuuzi na apuuzwe. Unamgeuza mwanaume ATM hela atatoa wapi kwa usawa huu? hata wanaume nao hutaka msaada kusaidiwa na wake zao. kwa mtindo huu watakimbiwa sana
Hakika mkuu
 
Hiyo bili imeandikwa na mchaga wa machame!!! Shimboni shafo!!!

Halafu ameorodhesha kabisaa yaanii.... nataka hiki na kile, wanja, lipstic, nauli, chips yai....

Aiseee mbona ningemtimua fasta!!! Kwani ni nini anakupa cha maana!???? Hilo limbunye lenye gonorea na fangasi??

Kuna watu mna mioyo ya chuma kama kiranja wenu blaza Evelyn Salt

Cc: Kijana masikini Dogoli kinyamkela Nyani Ngabu Extrovert Labella Mwachiluwi Poor Brain mshamba_hachekwi
Kumbe Evelyn Salt ni blaza dah huu ugeni huu siku nitajichanganya mahali
 
Hiyo invoice wateja kama watano hivi!

Wanaume shida tunayo!
Lakini wadada nanyi mnaendekeza njaa! Hamuwezi dumu kwenye mahusiano kwa namna hii ya unyonyajo!
Very sure blood ndio maana hawaolewi
 
Mke mwenye busara hutoka kwa Bwana angalia sana njia unazopita kijana shetani ana njia nyingi za kuangusha uchumi wako
Piga magoti wiki moja mara tatu kwa siku omba Toba jitakase kwanza omba Mungu akupe mke mwema andaa na sadaka yako nenda jumapili katoe sadaka kumshukuru Mungu hivi ndio mke mwema anavyopatikana tena Mungu atakupa mwanamke wa ujana wako nazani umenielewa
Ahsante sana mtumishi nimekuelewa vema
 
Back
Top Bottom