Mwanamke wangu ananiomba sana hela. Kwa hali hii nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine

😂😂😂😂
 
We nae kolo tu acha kufanya mwanaume mwenzako ajihisi useless kwahiyo unaona wewe ndo unapesa za kuhongahonga hovyo, kuhonga Kila siku au sio na kwaakili yako unazani ataishia hapo, Labda Kama pesa zako haramu sio za mtafutaji wa kawaida .
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Duuh ni kama nimekuelewa mkuu
 
Wewe unaona alichokifanya mwenzako ni sahihi mtu kazi anayo bado anataka anitegemee jwa kila kila kitu na juzi jumanne nimempa 80k ya kusuka na mambo mengine madogo madogo lakini leo tena tayari bili mpya
Eti bill mpya, tuonyeshe control namba😂😂😂😂😂😂
 
Hivi hawa wanawake wanao omba kama hivi huwa mnawapata wapi🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…