Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
- #121
😂😂😂😂Hiyo bili imeandikwa na mchaga wa machame!!! Shimboni shafo!!!
Halafu ameorodhesha kabisaa yaanii.... nataka hiki na kile, wanja, lipstic, nauli, chips yai....
Aiseee mbona ningemtimua fasta!!! Kwani ni nini anakupa cha maana!???? Hilo limbunye lenye gonorea na fangasi??
Kuna watu mna mioyo ya chuma kama kiranja wenu blaza Evelyn Salt
Cc: Kijana masikini Dogoli kinyamkela Nyani Ngabu Extrovert Labella Mwachiluwi Poor Brain mshamba_hachekwi