Mwanamke wangu ananiomba sana hela. Kwa hali hii nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine

Mwanamke wangu ananiomba sana hela. Kwa hali hii nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine

Kmmk hawa wanawake sasa naona wanaanza kutuchezea mapumbuzz....wee 500k unaomba kirahirahisi hivyo kwamba zinaokotwa!
Dah aisee vijana kwa kweli wacha tuendelee na nyeto ya mlenda. Kweli hawana huruma na sie sasa na sie ni mwendo wakuzalisha single maza yaani mpaka tz ijulikane ulimaenguni kama kiwanda cha single mazas
😁😁😁😁 amini mkuu
 
😁😁😁😁 a
Ni danga mkuu uhitaji uwepo wa daktari.
😂😂😂😂
 
Huitaji ata mungu kujua mwanamke mwema bwana. Sasa kama huyu kweli unahitaji mungu akuonyeshe kuwa hafai?
Tutumie akili zetu baadala ya hisia kuchagua mke na utapata tuu
Amini kaka
 
Mkuu uwez amini huyo mtoto juzi nilikuwa nae nikampa 30k akasuka halafu wakati wa kuondoka nikampa 50k nikajua itamsogeza leo tu tayari napewa bili nyingine na hapo bado anataka nimlipie kodi. So mtu wa hivi hata umfanyie nini atosheki bora kukimbia tu
Mmh wako kazid sana sema kama ushamla achana nae mkuu madem vichom omba omba hawafai

Mda wote anawaza hela zako tu
 
Kataa ndoa tunajambo letu 2025 mwingine huyu hapa namuachia manyoya shwaaaah uzuri ashalambwa mara mbili japo sikuwa na mpango wa kumuacha ila kwa haya mashuti aisee nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine.

Mimi siwezi kufanya mambo yote hayo mimi sio baba yako. Kila mtu afe na chake

Bro tafta saiz yako
 
Umenikumbusha huyo manzi. Nilikuwa namkubali sana ila sasa uombaji wa hela ulinifanya nihisi kuna mtu pembeni anahudumiwa kwa hela zangu.
Siku moja, nilikuwa nimevurugwa akaniletea habari za hela, nikablock. Mpaka leo sijui anaishi au la.
Safi sana mkuu hizo ndio akili za kiume
 
Kajamba nani unamaanisha maskini? Lugha ya zamani sana hiyo mkuu. 😀😀😀😀Hawa kataa ndoa wengi ni masikini na wanajitafuta.

Mbona pesa ndogo sana. Mwambie atupe namba yake huyo dada inbox tumsaidie hizo pesa ndogo ndogo anazohitaji huyo demu
We nae kolo tu acha kufanya mwanaume mwenzako ajihisi useless kwahiyo unaona wewe ndo unapesa za kuhongahonga hovyo, kuhonga Kila siku au sio na kwaakili yako unazani ataishia hapo, Labda Kama pesa zako haramu sio za mtafutaji wa kawaida .
 
Ulivyoingia ndivyo anavyokupokea.
Wewe ni lofa, Ke ana kazi yake halafu anakupanga kindezi namna hiyo

Umeleta uzi si ajabu utatoa, ninyi masimp hamna misimamo.
labda nurogwe mkuu ila sio mimi huyu na akili zangu sababu kuliwa ashaliwa tena zaidi ya mara moja
 
Huitaji ata mungu kujua mwanamke mwema bwana. Sasa kama huyu kweli unahitaji mungu akuonyeshe kuwa hafai?
Tutumie akili zetu baadala ya hisia kuchagua mke na utapata tuu
Hili jambo lipo kiroho zaidi sio rahisi kulielewa unapotoa sadaka ya agano na Mungu ili akupe mke mwema unakuwa umeikata Ile roho inayozuia mafanikio huyu mtoa mada anatatizo ambalo yeye mwenyewe bado hajalielewa huyu ana roho inayozuia uchumi wake bila kutoa sadaka ya agano atendelea kukutana na Wanawake wa sampo hizo tu
 
Back
Top Bottom