Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
- #101
Njoo pm andaa na kitambulisho cga taifaNipe namba yake nimpe hiyo laki tano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo pm andaa na kitambulisho cga taifaNipe namba yake nimpe hiyo laki tano
Ah nashukuru umenifaa mkuuYule ni blaza anapakua.
😁😁😁😁 amini mkuuKmmk hawa wanawake sasa naona wanaanza kutuchezea mapumbuzz....wee 500k unaomba kirahirahisi hivyo kwamba zinaokotwa!
Dah aisee vijana kwa kweli wacha tuendelee na nyeto ya mlenda. Kweli hawana huruma na sie sasa na sie ni mwendo wakuzalisha single maza yaani mpaka tz ijulikane ulimaenguni kama kiwanda cha single mazas
😁😁😁😁 aKmmk hawa wanawake sasa naona wanaanza kutuchezea mapumbuzz....wee 500k unaomba kirahirahisi hivyo kwamba zinaokotwa!
Dah aisee vijana kwa kweli wacha tuendelee na nyeto ya mlenda. Kweli hawana huruma na sie sasa na sie ni mwendo wakuzalisha single maza yaani mpaka tz ijulikane ulimaenguni kama kiwanda cha single mazas
😂😂😂😂Ni danga mkuu uhitaji uwepo wa daktari.
Amini kakaHuitaji ata mungu kujua mwanamke mwema bwana. Sasa kama huyu kweli unahitaji mungu akuonyeshe kuwa hafai?
Tutumie akili zetu baadala ya hisia kuchagua mke na utapata tuu
Imebidi nikodi usafiri mkuu maana hata kukimbia kwa miguu naona kama ntachelewaKimbia mbio nyingi kajisalimishe kituo cha polisi kilicho karibu nawewe, usalama wako ushakua mdogo.
Mmh wako kazid sana sema kama ushamla achana nae mkuu madem vichom omba omba hawafaiMkuu uwez amini huyo mtoto juzi nilikuwa nae nikampa 30k akasuka halafu wakati wa kuondoka nikampa 50k nikajua itamsogeza leo tu tayari napewa bili nyingine na hapo bado anataka nimlipie kodi. So mtu wa hivi hata umfanyie nini atosheki bora kukimbia tu
Mkuu sio poa kabisa wacha tule nyeto tu😂😂😂😂😂😂😂 500k January hii ni bora kununua aisee mapenz ni cost sana saiv.
Bro tafta saiz yakoKataa ndoa tunajambo letu 2025 mwingine huyu hapa namuachia manyoya shwaaaah uzuri ashalambwa mara mbili japo sikuwa na mpango wa kumuacha ila kwa haya mashuti aisee nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine.
Mimi siwezi kufanya mambo yote hayo mimi sio baba yako. Kila mtu afe na chake
Safi sana mkuu hizo ndio akili za kiumeUmenikumbusha huyo manzi. Nilikuwa namkubali sana ila sasa uombaji wa hela ulinifanya nihisi kuna mtu pembeni anahudumiwa kwa hela zangu.
Siku moja, nilikuwa nimevurugwa akaniletea habari za hela, nikablock. Mpaka leo sijui anaishi au la.
Kwa hela gani ulizokua nazo mpaka uanze kutuma kwa watu usiowajualeta namba nkutumie hela
We nae kolo tu acha kufanya mwanaume mwenzako ajihisi useless kwahiyo unaona wewe ndo unapesa za kuhongahonga hovyo, kuhonga Kila siku au sio na kwaakili yako unazani ataishia hapo, Labda Kama pesa zako haramu sio za mtafutaji wa kawaida .Kajamba nani unamaanisha maskini? Lugha ya zamani sana hiyo mkuu. 😀😀😀😀Hawa kataa ndoa wengi ni masikini na wanajitafuta.
Mbona pesa ndogo sana. Mwambie atupe namba yake huyo dada inbox tumsaidie hizo pesa ndogo ndogo anazohitaji huyo demu
gusa achia twende kwao ina apply hapaMuwe mnatongoza level zenu huyo sio level yako
Nilimpa tu yote hiyo ili wiki hii asinisumbe kumbe nilijidanganya tu80k ya kusuka?
Au ana taka kufungua saloon
Nilimpa tu yote hiyo ili wiki hii asinisumbe80k ya kusuka?
Au ana taka kufungua saloon
Tulia mtoto mdogo ujui maisha weweUnawezaje kuja kupost screenshot ya chats zako na demu wako humu JF si ukapost Facebook huko.
Unaonyesha bado hauko matured enough brother.
labda nurogwe mkuu ila sio mimi huyu na akili zangu sababu kuliwa ashaliwa tena zaidi ya mara mojaUlivyoingia ndivyo anavyokupokea.
Wewe ni lofa, Ke ana kazi yake halafu anakupanga kindezi namna hiyo
Umeleta uzi si ajabu utatoa, ninyi masimp hamna misimamo.
Hili jambo lipo kiroho zaidi sio rahisi kulielewa unapotoa sadaka ya agano na Mungu ili akupe mke mwema unakuwa umeikata Ile roho inayozuia mafanikio huyu mtoa mada anatatizo ambalo yeye mwenyewe bado hajalielewa huyu ana roho inayozuia uchumi wake bila kutoa sadaka ya agano atendelea kukutana na Wanawake wa sampo hizo tuHuitaji ata mungu kujua mwanamke mwema bwana. Sasa kama huyu kweli unahitaji mungu akuonyeshe kuwa hafai?
Tutumie akili zetu baadala ya hisia kuchagua mke na utapata tuu