Mwanamke wangu anapenda mapenzi kila dakika na ni mke tutatoboa kweli?

Tangu nizaliwe sijaona mwanamke anaupwiru kama huyu. Yaani ukitua kitandani tu mikono mwilini anataka show. Ukipiga show ya kawaida. utakuta bado anakupapasa hapo ujue ushavurunda.

Ukimpiga show babu kubwa aisee analala huko hana hata hamu analala kama amekufa.

Sasa changamoto anataka kila sikuuuu iendayo kwa mungu. Yaani hajali umechoka au jana mmepiga yeye hataki kujua muda wote mihemuko. Na labda utasema nimechoka nipige kimoja nilale hapo ndo umeyakanyaga maana bila show ile yenyewe anasumbua mikono kila sehemu had kero.

Napenda ngono ila huyu niliyempata amenizidi zaidi ya marasaba.Nataman mapumziko

Tangu nizaliwe sijaona mwanamke anaupwiru kama huyu. Yaani ukitua kitandani tu mikono mwilini anataka show. Ukipiga show ya kawaida. utakuta bado anakupapasa hapo ujue ushavurunda.

Ukimpiga show babu kubwa aisee analala huko hana hata hamu analala kama amekufa.

Sasa changamoto anataka kila sikuuuu iendayo kwa mungu. Yaani hajali umechoka au jana mmepiga yeye hataki kujua muda wote mihemuko. Na labda utasema nimechoka nipige kimoja nilale hapo ndo umeyakanyaga maana bila show ile yenyewe anasumbua mikono kila sehemu had kero.

Napenda ngono ila huyu niliyempata amenizidi zaidi ya marasaba.Nataman mapumziko lakini wap
kaka nenda polisi fasta ukamshtaki. ukimuendekeza atakuuwa huyo
 
Tangu nizaliwe sijaona mwanamke anaupwiru kama huyu. Yaani ukitua kitandani tu mikono mwilini anataka show. Ukipiga show ya kawaida. utakuta bado anakupapasa hapo ujue ushavurunda.

Ukimpiga show babu kubwa aisee analala huko hana hata hamu analala kama amekufa.

Sasa changamoto anataka kila sikuuuu iendayo kwa mungu. Yaani hajali umechoka au jana mmepiga yeye hataki kujua muda wote mihemuko. Na labda utasema nimechoka nipige kimoja nilale hapo ndo umeyakanyaga maana bila show ile yenyewe anasumbua mikono kila sehemu had kero.

Napenda ngono ila huyu niliyempata amenizidi zaidi ya marasaba.Nataman mapumziko lakini wap
Nani alikushauri uwe na mwanamke mwembamba shauri yako komaa
 
Mfungulie biashara atachoka mwenyewe 2 lakini kama unamlisha anashiba na yuko nyumbani 2 piga kazi kaka
 
Tangu nizaliwe sijaona mwanamke anaupwiru kama huyu. Yaani ukitua kitandani tu mikono mwilini anataka show. Ukipiga show ya kawaida. utakuta bado anakupapasa hapo ujue ushavurunda.

Ukimpiga show babu kubwa aisee analala huko hana hata hamu analala kama amekufa.

Sasa changamoto anataka kila sikuuuu iendayo kwa mungu. Yaani hajali umechoka au jana mmepiga yeye hataki kujua muda wote mihemuko. Na labda utasema nimechoka nipige kimoja nilale hapo ndo umeyakanyaga maana bila show ile yenyewe anasumbua mikono kila sehemu had kero.

Napenda ngono ila huyu niliyempata amenizidi zaidi ya marasaba.Nataman mapumziko lakini wap
Mtafute Mwanamume mwenzako akusaidie akikubania utalalamika anakupa unalalamika lipi sahihi kwaki ?
 
Back
Top Bottom