Mwanamke wangu anapenda mapenzi kila dakika na ni mke tutatoboa kweli?

Tangu nizaliwe sijaona mwanamke anaupwiru kama huyu.Yaan ukitua kitandani tu mikono mwilini anataka show.
Ukipiga show ya kawaida…. utakuta bado anakupapasa apo ujue ushavurunda...
Nilikutana na 19 years of age at the 28 years of age alinipeleka nilikuwa na mpango wa kuweka ndan lakin niliacha tu mtoto aenda roud nying per day utadhani ni UZI Gun
 
Kwani alikuja kwako kulala? Tatizo chips nyingi na hamli vyakula vya asili
 
Wewe ni kati ya wanaume wachache mliobarikiwa kupata wake bora. Hapa naweza sema KATAA NDOA wanaangusha alama 3. Ila kwa aina ya thread ni sawa na timu ya nyumbani haitaki kubeba alama 3. Mkuu shukuru Mungu anataka hiyo huduma toka kwako jiulize angeamua kutafuta mbadala?
 
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…