Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Wacha weeeee. Nyie wakusoma na kula kulala mnajifanyaga vidume kweli.Huyo ni dada yako au demu wako? Kama ni demu wako basi mpelekee moto tuu mana sisi wengine tunatafuta wanawake kama hao afu ww unakuja kulialia hapa.
Yaani utoke kwenye mahangaiko ikiwemo kuchimba madini, kufyetua tofali au shambani alafu uje nyumbani mwanamke naye anataka umfanye kila siku round 3 au 4. Kisa cha kufa mapema ni nini. We piga chako kimoja then lala kesho ukapambane. Inawezekana hao wote hawana shughuli za kufanya.