Mwanamke wastani wa miaka 25 hadi 29 bado ni Bikira

Mowwo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2015
Posts
1,083
Reaction score
1,628
Habarini Wakuu

Katika maisha ya kila siku kuna marafiki wapya tunaokutana nao. Namaanisha rafiki sii zaidi ya hapo.
Kuna mmoja nimeanza kuwasiliana nae kama wiki sasa, hajaniweka wazi umri wake sahihi lkn ni wastani wa miaka 25 mpaka 29. Anasema kwa ujasiri sana kua yeye bikira mpaka leo hii.

Maswali ni mengi nikaona niulize jukwaani inawesekanaje kwa umri huo?

Kuna kitu hakipo sawa mentally?
Mantiki ya kuutunza huo ubikira ni ipi?

Kwa wanaume Ushakutana na bikira umri huo/kwa mwanamke ushawah kutunza bikira yako mpaka umri huo?

Inawezekanaje?
 
Inawezekana kabisa. inategemea ni mazingira yapi anaishi au malezi gani aliyopewa nakumbuka mimi nilikutana na mwanaume kwa mara ya namjua mwanaueme nilikuwa 26 na miezi yake. japo nilikutana na tapeli kama matepeli wengine. ila inawezekana kwa herufi kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…